Kwa ujinga wa baadhi ya wapiga kura, Makonda angeachwa aendelee kuzunguuka nchi, angegombea urais na kura zikahesabiwa kihalali angechukua nchi. Unajua makonda Ni Kama Mrema, not presidential material lkn walalahoi wanamuona mkombozi baada ya kuchoka na wezi.Nasubiri kusikia zile porojo za Makonda eti anafaa kuwa Rais, 2030!
WashaufyataKundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.
Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa?
2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi? Au sasa wameufyata kwa watoto wa mjini?
Kaskazini haijawahi kuwa CCM kivile. Tatizo Sukumagang ambako ndo walipata mkombozi wao ambae Mungu akampenda zaidi. Wakajua mwana wa mkombozi kapatikana. Wajanja wenye chama chao wameamua kumpeleka huko akapambane na wapinzani... Huku wao wakijipanga kuendelea kukamata dola...Wa mjini washapewa za uso kikubwa 2025 kwa sasa,,, huko kaskazini ni kwenda kusafisha vinega kwa sasa
Usisahau komredi Kinana yuko pembeni ya mama...Na walijisahau kumuweka kwenye kile cheo,,, kilichohitajika kimepatikana 2025 patasomeka
Aliyekuwa anasema hayo ya Urais wa Makonda ni Lucas mwashambwa
Hakuna madhara.........gap mlipojisahau ni kumpa uenezi tu,,,siri ya kambi imeshaeleweka hata hapo pembeni ya mama awepo Aziz ki ,rimoti haina betriUsisahau komredi Kinana yuko pembeni ya mama...
As above so below,,,,Kusini kazi kwisha sasa kaskazini mtaelewa tu ,,kimya kimyaKaskazini haijawahi kuwa CCM kivile. Tatizo Sukumagang ambako ndo walipata mkombozi wao ambae Mungu akampenda zaidi. Wakajua mwana wa mkombozi kapatikana. Wajanja wenye chama chao wameamua kumpeleka huko akapambane na wapinzani... Huku wao wakijipanga kuendelea kukamata dola...
CCM haijawahi kupenda kuongozwa na "Washamba" . Walifanya kosa mara moja, hawatarudia tena.
Lucas Mwashambwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji6]Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.
Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa?
2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi? Au sasa wameufyata kwa watoto wa mjini?
Komredi LUKASI MWASHAMBA yuko ICU anapumulia mashine na katundikwa mipira, tumuombeeKundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.
Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa?
2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi? Au sasa wameufyata kwa watoto wa mjini?
Kusini haijawahi kutoka CCM. Kusini ni "washamba" kama sukumagang... Na Usukumani hivi sasa wanaimba "Nani kama Mama" Kashakitumia lijinga limoja limeshamtafutia njia. Sasa anakirudisha chama "nyumbani"As above so below,,,,Kusini kazi kwisha sasa kaskazini mtaelewa tu ,,kimya kimya
Voice from within [emoji3]Nasubiri kusikia zile porojo za Makonda eti anafaa kuwa Rais, 2030!
Haa hao ni walokole walioasi. Sio wahuni waliokokaNasubiri kusikia zile porojo za Makonda eti anafaa kuwa Rais, 2030!
Bado tunaendelea kumuombea uzima Ana afya. Makonda ni mtendaji na hana siasa siasa.Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.
Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa?
2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi? Au sasa wameufyata kwa watoto wa mjini?
Bado tunaendelea kumuombea uzima Ana afya. Makonda ni mtendaji na hana siasa siasa.