Lililoitwa Sakata la Bandari: Pumba zimeanza kujitenga na Mchele

Kama hawapingi uwekezaji TEC wangesema bandari tuendeshe sisi wenyewe wakati wanajua mitanzania ndo tunaifirisi bandari yetu?

Hiyo mitanzania inayofilisi unadhan Iko nje ya serikali?
 
Huna hoja yoyote mkuu... Hovyoo
 
Mtandao ni mpana sana, kuanzia ndani na nje ya Serikali

So unamaanisha serikali imeshindwa kuvunja huo mtandao?

Kama inaishindwa kuvunja network ya wezi je tutaamini vipi kama hata mambo ya DP world hayajaratibiwa na hao Wana mtandao?
 
So unamaanisha serikali imeshindwa kuvunja huo mtandao?

Kama inaishindwa kuvunja network ya wezi je tutaamini vipi kama hata mambo ya DP world hayajaratibiwa na hao Wana mtandao?
Kumuweka mwekezaji mwenye uwezo mkubwa ni moja ya njia bora kabisa za kuvunja huo mtandao
 
Najuta kuzaliwa nchi moja na Mjinga,Mpumbavu,Mzandiki na Taahira kama wewe!
 
Nakazia ww lucas mwashamba tunaomba kujua CV yako tuwalinganishe na ma padri wa TEC
 
Umesema kuna "watu walikuwa wananufaika na upigaji bandarini" Na, hao ndio hawataki kuona mwekezaji, anakuja, sasa swali langu kwako mkuu,
Hao, wapigaji, mbona hawakamatwi kama, wapo? Vyombo vyote vya uchunguzi kama police, takukuru, jwtz intelligence, TISS, vinaripoti kwa "mama" Na, vinaongozwa na makada wa ccm, sasa mbona havijawakamata hao "wapigaji"?
Kama wapigaji wapo, lakini mama na ccm yake wameshindwa kuwakamata, tukisema mama nchi imemshinda si tutakuwa sawa?
Viongozi waandamizi, wote wa TPA, ni makada wa, ccm na wanateuliwa na mama! Kama ni majizi basi ccm ndio majizi, yanayopiga bandarini,
Kwa jinsi unavyoelezea upigaji wa bandarini utafikiri bandari inaongozwa na chadema na mkurugenzi wake kateuliwa na Mbowe!
Kama kuna upigaji serikalini, unafanywa na ccm na wateuliwa na ccm! Bunge lote ni ccm, RC, DC, DASA, RAS, wote wameteuliwa na ccm! Idara zote nyeti zinaongozwa na wateuliwa wa, mama! Sasa kama ameteua majizi, tena raia bila kujua, ataweza, kweli kuwajua hao wawekezaji raia wa kigeni!?
Ccm choka mbaya, kwa, miaka 60,bandari inawashinda kuendesha.
Kilichpo bandarini, wapigaji wengi ni watumishi wa TPA, na makada wa ccm ngazi za kati, sasa hv, majizi, ya nchi hii, kikwete na samia, kinana, yameona fulsa,yakate mirija ya hawa juniors majizi, ili yaibe yenyewe.
 
Hii document umeiona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa, wewe mvuta bangi, ushindi upi unaouongelea? Tangu lini uovu ulipata ushindi? ACT, si toka mwanzo Zito alishasema kuwa anaunga mkono uporwaji wa bandari? Sasa kuna nini kipya toka ACT?

Rudisheni pesa mlizohongwa. Hamwezi kubadilisha uovu ukawa wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…