Lililoitwa Sakata la Bandari: Pumba zimeanza kujitenga na Mchele

Kama aliweza kuwajibu wa kikokotoo then hata hao anaweza kuwajibu

Yy ndio Kiongozi wao, ndie mama Yao, ndie Rais wao so wanahaki ya kutaka majibu kutoka kwake
Samia anajua hana hoja ya msingi anayoweza kuijibu ikaeleweka kuhusu maswali mazito yaliyopo kwenye IGA ya Dubai na Tanzania.

Anajua akijilengesha kwenye kujibu atashindwa kwa hoja, ndiyo maana kasema atakaa kimya.

Mwenyewe anajua hana hoja, angekuwa na hoja Bibi Mipasho asingeshindwa kujibu.

Huko kwenye vikokotoo anaweza kujibu kwa sababu ni mambo ambayo hayana mikingamo kama hiyo IGA na Dubai.
 
Kama hawapingi uwekezaji TEC wangesema bandari tuendeshe sisi wenyewe wakati wanajua mitanzania ndo tunaifirisi bandari yetu?
TEC hawajapinga uwekezaji na bahati nzuri tuliwasikiliza vizuri.
Unless otherwise una chuki nao binafsi wako sahihi kabisa!
Mkataba upitiwe vipenge vyenye utata viondolewe then uwekezaji uendelee!
 
Samia anajua hana hoja ya msingi anayoweza kuijibu ikaeleweka kuhusu maswali mazito yaliyopo kwenye IGA ya Dubai na Tanzania.

Anajua akijilengesha kwenye kujibu atashindwa kwa hoja, ndiyo maana kasema atakaa kimya.

Mwenyewe anajua hana hoja, angekuwa na hoja Bibi Mipasho asingeshindwa kujibu.

Huko kwenye vikokotoo anaweza kujibu kwa sababu ni mambo ambayo hayana mikingamo kama hiyo IGA na Dubai.
Hana hoja au wewe una upeo finyu unaokufanya upende kusikia unavyotaka kusikia wewe tu?
 
Nina uhakika wewe na ukoo wenu mzima hamnifikii kwa uwezo mkubwa wa kiakili
Anamaanisha akili, siyo ubongo. Yawezekana una ubongo mkubwa, lakini haiashirii una akili kubwa.

Kwa haya uliyoyaandika, yumkini akili ni kidogo au una akili iliyokuwa suppressed na unafiki, hivyo haiwezi kuonekana.
 
I think mkiweza kujibu hoja na maswali Yao then Nia njema itaonekana tatizo lenu mnatetea bila fact
Bila fact kivipi? Kuna fact gani kwenye Bandari kuuzwa?

Nikikuuliza imeuzwaje unaweza kunijibu hapa? Au utaishia kupiga porojo tu?
 
Wachana nae fala huyo.
Unaga hoja bibi.... Hutaanza kuniandikia hisia zako,kama kawaida yako nakufahamu.
Hafu muda wa kumpikia chai Mume na kumrekebisha tai ukae vizuri sawa
 
Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.

Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.

Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.

Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika

Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.

Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.

Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.

Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.

Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.

Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.

Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.

Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.

Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.

Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.

Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Ujinga mtupu sijui bichwa lako halina ubongo
 
TEC hawajapinga uwekezaji na bahati nzuri tuliwasikiliza vizuri.
Unless otherwise una chuki nao binafsi wako sahihi kabisa!
Mkataba upitiwe vipenge vyenye utata viondolewe then uwekezaji uendelee!
Kwa hiyo wewe pekee ndo umewasikiliza TEC?
 
Sasa chama kina watu wameugua ugonjwa wa akili na kama ulivyotongoa na wavuta bangi na walevi wanaoanguka kwenye ngazi wakavunjika miguu wakasingizia wamevamiwa.
Chadema ni Chama cha udanganyaji ,arafu wanajua kuupangiria kama mfuata upepo utakuwa bendera kwao
Nilimuuliza jamaa unaenda wapi akaniambia anaenda kwenye mkutano wa CHADEMA kusikiliza pumba..
 
mkuu hawa watanzania wengi wanaosapoti bandari umewapata wapi ikiwa hawa wachache tu wa jf wote wanapingana na wewe

bandiko lako 98% ni uwongo na wajua kabisa
 
Wale .... na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Sina hakika kama unajua ngoma unayoucheza!! Jiandae, kuielewa sawa sawa na kwa uhakika ngoma uchezayo!
 
Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.

Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.

Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.

Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika

Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.

Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.

Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.

Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.

Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.

Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.

Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.

Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.

Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.

Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.

Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Nimesoma pumba nyingi kwenye post yako.

Hebu weka contents za kueleweka basi
 
Wanajua nini? Wametoa hoja gani?
Kama huna uwezo hata wa kujua hoja zilizotolewa na wengi, tena wenye akili na maarifa, basi ni haki yako kuleta takataka kama hizi.

Kama una uwezo wa kusoma na kuelewa, tafuta maoni ya TLS, yapitie moja baada ya nyingine. Kama utakuwa bado hujaelewa, basi pumzika tu. Hizi takataka unazoweka humu, hakuna mwenye akili atakayezichukua.
 
Nimesoma pumba nyingi kwenye post yako.

Hebu weka contents za kueleweka basi
Kama umesoma tu unazoziita pumba basi hilo linatosha.

Najua ukweli umekufikia. Polee sana kwa kuumia
 
Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.

Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.

Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.

Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika

Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.

Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.

Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.

Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.

Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.

Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.

Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.

Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.

Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.

Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.

Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
umesahau kumcopy samia na chongoro
 
Back
Top Bottom