GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu ,Are you mentality fit?Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.
Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Sawa MunguHuu sio UJINGA hii ndo hali halisi UTOPOLO FC hamna chenu
Naona dishi limeshayumba tayari. Nadhani ni wakati sasa wa kuanza kukusanya michango kwa ajili ya nauli ya kukupeleka Mirembe Dodoma, au Lutindi Korogwe Tanga kuchukua zile dawa zako.Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.
Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Sasa boss kingereza cha kuunga unga cha nini kwenye mada ya kiswahili? Haya, usipangiwe cha kuandika.Or You are fit because you dont have sex but you have a wife
Huu mtindo wa kuandika mada kama unafukuzwa na mbwa unapoteza lengo kuu
Jaribu kutulia,kunywa maji halafu andika taratibu
Nakuunga mkonoHuyu juha inatakiwa tumkatae na hizi nyuzi zake za kishoga,kila dakika analeta pumba jukwaani.
midomo midomo tushazoea...Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.
Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Mkuu ,Are you mentality fit?
Or You are fit because you dont have sex but you have a wife
Huu mtindo wa kuandika mada kama unafukuzwa na mbwa unapoteza lengo kuu
Jaribu kutulia,kunywa maji halafu andika taratibu
Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?Mkuu ,Are you mentality fit?
Or You are fit because you dont have sex but you have a wife
Huu mtindo wa kuandika mada kama unafukuzwa na mbwa unapoteza lengo kuu
Jaribu kutulia,kunywa maji halafu andika taratibu
Juha ni yule Aliyekuzaa na siyo Mimi.Huyu juha inatakiwa tumkatae na hizi nyuzi zake za kishoga,kila dakika analeta pumba jukwaani.
πππMwisho wa mwezi mzigo umetema Hela ya bando ipo plus mwezi mchanga