fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
usicheze na yangaKama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.
Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Uko kwa wapi bossHuu sio UJINGA hii ndo hali halisi UTOPOLO FC hamna chenu
Na hii ndiyo maana sasa halisi ya wewe kuitwa Popoma.Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.
Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Mkuu naona umeona bora umfuate hukuNa hii ndiyo maana sasa halisi ya wewe kuitwa Popoma.
Hahahaha!!!Na hii ndiyo maana sasa halisi ya wewe kuitwa Popoma.
Sasa imedhihirika wewe mleta huu Uzi ndiyo huna akili kwa pira la Yanga ok?Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.
Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Kesho atakuja na uzi wenye story za kutunga kuhusu ushindi wa Yanga huku akijifanya aliyajua yote kwamba Yanga itashinda na usishangae akaja na uzi wa kutabiri ushindi wa Yanga kwa mechi iliyokwisha chezwa.Na hii ndiyo maana sasa halisi ya wewe kuitwa Popoma.
Kwani Msimamo wa ilo kundi D upoje?Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.
Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Ninahisi hata kwenye plan zako katika maisha huwa zinafeli hivihivi.Huu sio UJINGA hii ndo hali halisi UTOPOLO FC hamna chenu
Kama una mipango ya kufanya biashara nakushauri usipoteze muda maana biashara inahitaji kichwa kilichotulia na kichwa chenye kuona hali ya soko kwa usahihi.Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.
Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Habari yakoKama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.
Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?