Lill Ommy: Siwezi kamwe kumtafuta Nandy kwaajili ya mahojiano, namuona analandalanda tuu mtaani

Tatzo la Ruby alikua ashaanza
Kumpa utamu meneja wake sasa
Ruge pale akajitoa mapema Tu
 
Kiukweli toka kifuani sijawahi kumuelewa huyu jamaa aisee!
 
Kumbe frequency za wasafi zilikuwa zinatumiwa na redio nyingine before. Watu wana maakili sana.
 
Kumbe frequency za wasafi zilikuwa zinatumiwa na redio nyingine before. Watu wana maakili sana.
Kusaga kahodhi frequency nzuri nzuri kama watu wanavyofanya kwenye Domains.
 
Mleta thread acha umbea na uchonganishi,unaonekana una chuki sana na Wasafi
 
mshamba tu uyo boya amelewa sifa bora mke wake anafanya vizuri kule tbc.
 
Mzee wa ailaiki dati πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yo rede no samusingi, laiki dati
 
Huyu bwana mdogo tambwe anaingilia bifu lisilomuhusu inajulikana lengo la wasafi ni kumshusha Nandy ili kutoa platform kwa zuchu lkn inabid wakubali ukweli Nandy yupo smart sana myb kula kudate na jasiri alimuambukiza akili ndo maana yupo smart
 
Ila mashabiki wa uyu dogo sijui mna tatizo gani kichwani.
 
Mkuu vijana wote wangekua wanaelewa Mambo kwa namna hii tusingekua na mashabiki maandazi ambao kila atakachofanya uyo Diamond wanaona sawa na kushangilia.Fanya analysis ya music industry vizuri utaelewa kwanini Kuna watu hawataki kabisa ukaribu na hawa jamaa wa wasafi.
 
Duh kwani wasafi fm ni ya kusaga au Diamond? Hao wanatengeneza mabifu kijingajinga ili wavute mashabiki kwenye majukwaa yao tu
True wasafi ni ya kusaga na kingne hao watangazaji wanaweka bifu makusudi ili wafanye biashara coz waliambiwa na clouds wapige nyimbo zao wao wakasema ushndani ndio biashara yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…