usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Tatzo la Ruby alikua ashaanzaSometimes mambo mengine ni kuyaacha tu yapite.
Maisha ni magumu, watu wanajitoa akili kulinda vibarua vyao.
WCB siku zote wanapambana kumpandisha Zuchu, na msanii wa kike aliyeko kwenye peak sasa hivi wanaona ni Nandy.
Walianza na Lady Jaydee ila walivyoona kakubali kumuunga mkono msanii wao wakaachana naye.
Kwa Nandy wameshamfanyia figisu kubwa sana ikiwemo kumpa kazi na airtime Gig money ya kumvuruga. Tena Gigi amekuwa akihojiwa na huyu huyu Lil Ommy.
Muziki sasa hivi umejaa SIASA CHAFU SANA.
Ukiwa shabiki juu juu tu, akili ndogo, shabiki sukule huwezi kuelewa, unaweza usijue na wasanii wengi huwa wanakaa kimya na kufa nayo rohoni.
Binafsi sishangai maana hata Nandy alipandishwa juu na Ruge baada ya Ruby kumzingua
Kumpa utamu meneja wake sasa
Ruge pale akajitoa mapema Tu