Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Kuna siku utahama hapo ilipo nyumba yako kutokana na sababu yyte kama kazi, biashara nk. Au kuna mtu utahitaji kumpangishia, Sio wote wanaokutana na dalali hawajajenga.Nashukuru Mungu nimepata kibanda changu na nimehamia sa hivi mambo ya Madalali wa nyumba nitayasikia kwenye Bomba tuu.
Huyu hajui kuwa kuna watu wamehamia Dodoma wameacha magorofa Dar wanapasuana vichwa na madalali wa Dodoma!Kuna siku utahama hapo ilipo nyumba yako kutokana na sababu yyte kama kazi, biashara nk. Au kuna mtu utahitaji kumpangishia, Sio wote wanaokutana na dalali hawajajenga.
Bila yeye hicho chumba ungepata?Habari za muda huu wakuu? Heri ya mwaka mpya pia.
Leo nimekuja kuuliza na kutafuta majibu ya juu ya suala la madalali wa nyumba kulipwa kodi ya nyumba ya mwezi.
Hili suala limekaaje hii ni baada ya kuona mijadala kadha wa kadha kupitia mitandao ya kijamii tofauti.
Je, kwanini kodi ya mwezi?
Inasimamia kitu gani?
Hiyo hela ya mwenye nyumba ndio kodi ya mwezi mmoja ni ya dalali kwani shida iko wapiNi wizi huo wa kuwababesha wapangaji gharama zisizowahusu. Kwanini wasilipwe na mwenye nyumba? Mwenye nyumba anamlipa kiasi gani dalali?
Habari za muda huu wakuu? Heri ya mwaka mpya pia.
Leo nimekuja kuuliza na kutafuta majibu ya juu ya suala la madalali wa nyumba kulipwa kodi ya nyumba ya mwezi.
Hili suala limekaaje hii ni baada ya kuona mijadala kadha wa kadha kupitia mitandao ya kijamii tofauti.
Je, kwanini kodi ya mwezi?
Inasimamia kitu gani?