Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lukuvi anahangaika na vyanzo vya mapato anasahau hiki chanzo, sijui ni nn tatizo.Achana na udalali, kuna suala ya wenye nyumba kuchukua kodi kuanzia miezi mitatu,sita hadi mwaka. Wakati unakuta mshahara mtu analipwa on monthly basis, sasa unajiuliza kama nalipwa kwa mwezi mwezi ninapata wapi hela ya kulipa miezi sita?
Na serikali iko kimya kabisa
Nyie ndio hamjui.Ni Utapeli kama utapeli mwingine. Kodi ya Mwezi mmoja ni nyingi sana!! Ilitakiwa kuwe na standard labda kukuonyesha eneo ni labda elfu 10 na kama ukiipenda unalipa labda elfu 20! Kisha wao walipwe posho na mwenye nyumba maana wamemtafutia mteja.
Yaani wewe unaonekana kabisa ni dalali...!!Bila yeye hicho chumba ungepata?
Nenda NHC ,ndiyo wenye utaratibu wa monthly basis kama marejesho ya mkopo.Na pia ukilipia hiyo ya miezi 6,tukizinguana hakuna kurudisha kodi yakoAchana na udalali, kuna suala ya wenye nyumba kuchukua kodi kuanzia miezi mitatu,sita hadi mwaka. Wakati unakuta mshahara mtu analipwa on monthly basis, sasa unajiuliza kama nalipwa kwa mwezi mwezi ninapata wapi hela ya kulipa miezi sita?
Na serikali iko kimya kabisa
Kwann haupo, kwani anayewalipa kodi analipwa miezi sita in advance?Hakuna uhalali wa kulipa ya Mwezi!
Sio hivyo mkuu hawa jamaa wanasaidia sana na hata wenye nyumva wenyewe wanajua unaweza kuta chumba kipo mwenye nyumba akakuambia kiko chini ya dalali bila yeye hawwzi kukupa sasa hapo utafanyaje[emoji2][emoji2]Yaani wewe unaonekana kabisa ni dalali...!!
Usumbufu wote wa-nini ?Ni Utapeli kama utapeli mwingine. Kodi ya Mwezi mmoja ni nyingi sana!! Ilitakiwa kuwe na standard labda kukuonyesha eneo ni labda elfu 10 na kama ukiipenda unalipa labda elfu 20! Kisha wao walipwe posho na mwenye nyumba maana wamemtafutia mteja.
Biashara ya Mwenyenyumba na Dalali haikuhusu Mpangaji.Ni wizi huo wa kuwababesha wapangaji gharama zisizowahusu. Kwanini wasilipwe na mwenye nyumba? Mwenye nyumba anamlipa kiasi gani dalali?
Huyu hajui kuwa kuna watu wamehamia Dodoma wameacha magorofa Dar wanapasuana vichwa na madalali wa Dodoma!
Heri yako mkweli.Madalali ni kama wanasiasa, waongo waongo tu
Sio hivyo mkuu hawa jamaa wanasaidia sana na hata wenye nyumva wenyewe wanajua unaweza kuta chumba kipo mwenye nyumba akakuambia kiko chini ya dalali bila yeye hawwzi kukupa sasa hapo utafanyaje[emoji2][emoji2]
Uhalali ni?Hakuna uhalali wa kulipa ya Mwezi!
Nyie ndio hamjui.
Dalali akikupeleka kwa mwenye nyumba kama chumba umekikubali labda kodi kwa mwezi ni 50 elfu na ukalipa miezi 6 (300,000)mwenye nyumba yeye mkataba anakuandikia 3laki hiyo hiyo ila yeye anapoke 295000 ina maana dalali anachukua 50.hiyo inakuwa imetoka kwamwenye mwenye nyumba.sasa hapo sijajua nyie linawahusu nini wapangaji.
Na hili mwenye nyumba analielewa maana huyo huyo dalali ana uwezo wa kumhamisha huyo mpangaji hata kwa ndumba maana madalali nao wametimia.
Madalali ni muhimu sana maana huwezi kutembea mtaa kwa mtaa kutafuta nyumba...utachukua miezi kuipata. Madalali ukitaka uone umuhimu wao uwe na bidhaa unauza au unataka kumunua hasa nyumba au kiwanja. Nadhani tuendelee kuwaheshimu hawa watuBiashara ya Mwenyenyumba na Dalali haikuhusu Mpangaji.
Bishara iliyopo iwapo umemtafuta Dalali ni kati yako na huyo Dalali.
Acha kuingilia yasiyokuhusu.
Na ukiona vipi achana na Dalali,
Tafuta mwenyewe,
Simple as that.
Yaani hapo kodi inatafutwa ya miezi 13 inauma sana hiyo walitakiwa walipane na mwenye nyumba si mpangaji, ila sasa hakunaga wakumsemea mpangaji.
Kwani inakuwa na ugumu gani mwenye nyumba kunipangisha bila kupitia dalaliBila yeye hicho chumba ungepata?
Utampatajje mwenye nyumba kwenye jiji kubwa kama Dar?Kwani inakuwa na ugumu gani mwenye nyumba kunipangisha bila kupitia dalali