dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,423
- 1,987
Hilo swala waandamwe wenye nyumba sio Dalali.Kulipa kwa mwezi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo swala waandamwe wenye nyumba sio Dalali.Kulipa kwa mwezi....
Yap,watu wasiangalie upande mmoja tu.Bila yeye hicho chumba ungepata?
wa stendi madalali uwa wanakula kwa mwenyenyumba na mpangaji,kote anakula 10%.kumbe wewe uajawajua vizuri awajamaa.Nyie ndio hamjui.
Dalali akikupeleka kwa mwenye nyumba kama chumba umekikubali labda kodi kwa mwezi ni 50 elfu na ukalipa miezi 6 (300,000)mwenye nyumba yeye mkataba anakuandikia 3laki hiyo hiyo ila yeye anapoke 295000 ina maana dalali anachukua 50.hiyo inakuwa imetoka kwamwenye mwenye nyumba.sasa hapo sijajua nyie linawahusu nini wapangaji.
Na hili mwenye nyumba analielewa maana huyo huyo dalali ana uwezo wa kumhamisha huyo mpangaji hata kwa ndumba maana madalali nao wametimia.
Bonge la PointBinafsi katika suala la madalali, ninachoweza shauri hapo ni serikali za mitaa kuweka utaratibu kwamba kila mwenye nyumba, chumba au kitu chochote cha kupangisha apeleke taarifa zake kwenye ofisi ya serikali ya mtaa ili kama mtu anataka chumba oneo fulani anafika hapo ofisini. Mana hii pia itaongeza usalama wa eneo husika kwa kuwa kila anayepanga eneo hilo basi ofisi inakuwa na taarifa zake lakini pia inaweza ikawa chanzo cha mapato kwa serikali za mitaa kwakuweka tozo fulani ambayo ni rafiki kwa wananchi kuliko hiyo kodi ya mwezi kwa dalali
Habari za muda huu wakuu? Heri ya mwaka mpya pia.
Leo nimekuja kuuliza na kutafuta majibu ya juu ya suala la madalali wa nyumba kulipwa kodi ya nyumba ya mwezi.
Hili suala limekaaje hii ni baada ya kuona mijadala kadha wa kadha kupitia mitandao ya kijamii tofauti.
Je, kwanini kodi ya mwezi?
Inasimamia kitu gani?
Bonge la Point
Wizi mtupu. Ni wakati muafaka kwa Serikali kutunga sheria itayowabana madalali walipe kodi stahiki. TRA mmelala kwani ni rahisi kuwapata madalali kwani kwenye mitandao wamejaa tele wakitangaza na kufanya biashara wakipokea pesa ya dalali toka kwa mpangaji na mpangishaji pamoja na service charge eti ya kuonesha tu.Habari za muda huu wakuu? Heri ya mwaka mpya pia.
Leo nimekuja kuuliza na kutafuta majibu ya juu ya suala la madalali wa nyumba kulipwa kodi ya nyumba ya mwezi.
Hili suala limekaaje hii ni baada ya kuona mijadala kadha wa kadha kupitia mitandao ya kijamii tofauti.
Je, kwanini kodi ya mwezi?
Inasimamia kitu gani?
Dodoma ni tatizo kubwa, tuliohamishiwa huku ni majanga matupu, kodi zipo juu kuliko majiji yote makubwa hapa Tanzania kasoro Arusha tuNyumba za kupanga dodoma ni maumivu tu...kodi kubwa utadhani wana wapangashia matajiri gani sijui nyumba zenyewe sasa!! Madali ndo nuksi kabisa huku
Pamoja na umuhimu wao kama unavyosema, lkn kuchukua malipo ya 100% ni wizi, mbaya zaidi hiyo kamisheni anatozwa mpangajiHahahahahahahahaha...kwamba madalali nao si wa mchezomchezo...ukitaka kujua umuhimu wa dalali uwe na shida ya nyumba au uwe unauza kitu. Msiwachukulie pouwa wenye fani zao. Acha na wao wapate hela maana wanahangaika mno. Imagine mtu anashinda anatembea kutwa nzima
Mkuu, wewe baada ya ku-seal deal unalipa asilimia ngapi kwa kaisari?Ndugu wajumbe, mimi naweka wazi kabisa kuwa mimi ni dalali.
Nyie mnaojifanya mnajua hapa huwa ham wezi kupata chumba wala nyumba bila misaada yetu sisi.
JARIBU KUTAFUTA MWENYEWE UACHE SHUGHULI ZAKO UONE ILIVYO KAZI
Na,
Hakuna dalali anaekulazimisha ulipe hio hela hata kidogo.
Thats an agreement between us and our beloved customers. Tena wengi huwa wanatoa pungufu and we dont give a damn.
Okay karibuni sana naitwa DALALI SOLOMON NIPO TABATA DAR
0744033555
Nakuunganisha upate
Pikipiki used brand zote
Tv used brand zote size zote
Gari used hadi kwa milioni 3
Mashamba
Viwanja chanika mvuti kisewe mbande hadi kwa milioni 1.
Nitafute kwa hio namba niendelee kuishi.
Ushawahi kusikia kesi za mtu kulipa kodi kwa Mwenyenyumba feki? Sababu ni kua tumekwepa kuhusisha Local Government ambazo ndizo zinawatambua.Are you serious chief?? Kwamba Serikali za mitaa ndio zideal na real estate management?!
Madalali all they need is a regulator with uniform terms, conditions and guidelines!
Serikali iweke chombo/taasisi maalum kwa ajili ya real estate management!
Vyuo viweke mitaala ya real estate ama kufunguliwe colleges za real estate ambapo huwezi kuwa dalali kama huna cheti/certificate ama leseni inayotambuliwa na serikali na organs zake! Bila hivyo you don’t qualify!
Serikali ikiweka hii real estate regulatory body it will be easy kusimamia bei za masoko ya vyumba, nyumba na viwanja huku kodi zikikusanywa at the same time!
Kuwapa Serikali ya mtaa hii issue ni kuwaweka kwenye mtego wa rushwa ya bure kabisa!
Ushawahi kusikia kesi za mtu kulipa kodi kwa Mwenyenyumba feki? Sababu ni kua tumekwepa kuhusisha Local Government ambazo ndizo zinawatambua.
Kila mpangaji akipitia kwenye hizi local governments ni rahisi na salama pia.
Kitambi nayo ni maendeleo ,umuhimu wa kitambi ni wakati wa kufuta smartphone🤔🤔🤔🤔Huo ni wizi tu ndio maana asilimia kubwa ya madalali hawajaendelea wanavitambi tu
Hesabu ya mwakahuuNyie ndio hamjui.
Dalali akikupeleka kwa mwenye nyumba kama chumba umekikubali labda kodi kwa mwezi ni 50 elfu na ukalipa miezi 6 (300,000)mwenye nyumba yeye mkataba anakuandikia 3laki hiyo hiyo ila yeye anapoke 295000 ina maana dalali anachukua 50.hiyo inakuwa imetoka kwamwenye mwenye nyumba.sasa hapo sijajua nyie linawahusu nini wapangaji.
Na hili mwenye nyumba analielewa maana huyo huyo dalali ana uwezo wa kumhamisha huyo mpangaji hata kwa ndumba maana madalali nao wametimia.
Binafsi nina nyumba ya kupangisha mtu kama hajaja na dalali simpangishi sababu 1. mtu ambaye hana uwezo wa kumlipa dalali si amini kama anauwezo wa kulipia nyumba pindi ile kodi yake aliyodunduliza kwny kibubu ikiisha.Kwani inakuwa na ugumu gani mwenye nyumba kunipangisha bila kupitia dalali
Kama wewe ulitoahivyo basi walikulalia mi ninavyojua mwenye nyumba ndio anamlipa dalaliHapana sio hivyo Mkuu ,mwenye nyumba anakula laki 3 yake kama kawaida.....Na wewe unampa dalali elfu 50 yake.