mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Je kwa nje unaweza tambua ukubwa na distribution za main beam za ilo jengo?
Utaona vipi huku macho umefumba mkuu?Hizo nondo ziko wapi mbona sizioni
Hii akili au matope?Mkuu, fanya issue zako, mambo ya watu achana nayo, unaweza ukawa na very limited facts kwenye hilo jambo
Kumbuka kuna jengo lilianguka likaua watu, ikabidi jengo pacha wake libomolewe kwa utaratibu kabla ya kuua watu wengine. KUPEANA TAHADHARI NI UZALENDO.Haya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...
Mchana mwema!
Sasa akatae kwani yeye ndiye anatoa vibali vya ujenzi? Wakati wa kupiga plaster cement lazima iingie vyumbani mwa wapangaji wake hata hivyo, maana majengo yamekaribiana sanana hivi utakuta mwenye hilo ghorofa la jirani na yeye kakubali tu
Ishu sio beams, kuna main beam (nguzo kuu) hizi ndo huwa ni muhimili mzima wa jengo. Kama ww ni msomaji wa biblia Samson alifanya suecide kwa wafilisti kwa kuvunja nguzo kuu za jengo walimokusanyika wafilisti.
Excellent.Kitaalam tunaita 'Core' , ndio uti wa mgongo wa jengo refu
Sante kwa kuiweka sawa. Hiki kipindi adi wataalam wa kiswahili wanaingilia field. Kuna mkuu mmoja wa mkoa alitoa agizo mafundi wa mtaani wajenge madarasa badala ya wale waliosajiliwa ili kupunguza gharama nikabaki kushangaaMkuu nguzo sio beams,nguzo ni columns.
Kwa lugha nyingine tunahita mhimili wa Jengo unaobeba mzigo kutoka kwenye beams ili upelekwe ardhini.
Bila kusahau compressive strength ya zege..Mambo ya Tensile strenght...[emoji23][emoji23][emoji23] Pana shule flani hivi ngumu hapoo..
siku ukiangukiwa na kuvunjwa kiuno, au ukienda kumzika nduguyo aliedondokewa na nyumba mbovu kiusanifu ndio utayakumbuka maneno yako.Mkuu, fanya issue zako, mambo ya watu achana nayo, unaweza ukawa na very limited facts kwenye hilo jambo
Na ndio maana nimetoa angalizo, maana kuna jengo lilishawahi kuanguka kule posta na watu walikufa, na wahusika waliwekwa ndani na hatimae wakaachiwa, lakini waliopoteza maisha ndio imetoka,sasa kama naona kitu ambacho hata kwa macho tu kinatia shaka inabidi wahusika wakajiridhishe.
Hunijui tu, otherwise usingepoteza muda wako kuandika hiyo risala ndefu hivyo, labda kwa faida ya wengine. Ila kukurekebisha tu, QS hasa ni mkadiriaji wa gharama za majengo na ndio huandaa BOQ. Anyway, kujiridhisha ni muhimu.Mkuu, jengo halijengwi na mtu mmoja, unspoona jengo kama hilo kuna wafuatao wanahudika:
1. Architect...huyu ni mchoraji
Na baada ya mchoro wakati wa ujenzi
anakuwa consultant...kuhakikisha mchoro
wake unafuatishwa
2. QS..hawa wanahuka na vifaa vya ujenzi..ubora wa kokoto, mchanga, nondo...
Hawa ndio wakadiriaji majenzi....nao ni ma consultants.
3. Kuna structural Eng...hawa nao ni wachora michoro ya chuma na kutoa ratio ya zege nk..
Nao ni ma consultsnts.
Hili jengo unaloliona lazima wawepo hawa wataalam vinginevyo huwezi kupewa KIBALI CHA UJENZI NA AWAMU HII HAKUNA UTANI.
4. Ni mjenzi mwenyewe...huyu anakaguliwa na wote niliowataja hapo juu
UPANDE WA SERIKALI WAKAGUZI NI:
1. CRB
2. ERB
3. AQRB
4. Hawa wote wanahusika hapo.
Wembamba wa nguzo sio hoja, hoja ni kuwa kafuata maelekezo ya:
1. Michoro?
2. Structural design?
Kama amefuata jengo ni SALAMA
Unaweza kuwa na manguzo Manene lakini:
1. Chuma dhaifu
2. Ratio dhaifu jengo litapiga chini mkuu
Mkuu, mambo ya ujenzi hayapimwi kwa macho, embu jiongeze kidogo.
Fundi mchundo,
Inamaana humu hakuna wataalamu wa majengo naona wote wanamkosoa mleta mada ila hawaongei fact yoyote likitokea janga hapo watageuka tena
Lile lililoanguka posta kwani halikuwa na michoro? Ilikuwepo ila shida ni pale jengo linapojengwa zaidi ya idadi iliyokuwa specified kwenye michoro
Nimejaribu kujibu hapo juuMkuu, jengo halijengwi na mtu mmoja, unspoona jengo kama hilo kuna wafuatao wanahudika:
1. Architect...huyu ni mchoraji
Na baada ya mchoro wakati wa ujenzi
anakuwa consultant...kuhakikisha mchoro
wake unafuatishwa
2. QS..hawa wanahuka na vifaa vya ujenzi..ubora wa kokoto, mchanga, nondo...
Hawa ndio wakadiriaji majenzi....nao ni ma consultants.
3. Kuna structural Eng...hawa nao ni wachora michoro ya chuma na kutoa ratio ya zege nk..
Nao ni ma consultsnts.
Hili jengo unaloliona lazima wawepo hawa wataalam vinginevyo huwezi kupewa KIBALI CHA UJENZI NA AWAMU HII HAKUNA UTANI.
4. Ni mjenzi mwenyewe...huyu anakaguliwa na wote niliowataja hapo juu
UPANDE WA SERIKALI WAKAGUZI NI:
1. CRB
2. ERB
3. AQRB
4. Hawa wote wanahusika hapo.
Wembamba wa nguzo sio hoja, hoja ni kuwa kafuata maelekezo ya:
1. Michoro?
2. Structural design?
Kama amefuata jengo ni SALAMA
Unaweza kuwa na manguzo Manene lakini:
1. Chuma dhaifu
2. Ratio dhaifu jengo litapiga chini mkuu
Hunijui tu, otherwise usingepoteza muda wako kuandika hiyo risala ndefu hivyo, labda kwa faida ya wengine. Ila kukurekebisha tu, QS hasa ni mkadiriaji wa gharama za majengo na ndio huandaa BOQ. Anyway, kujiridhisha ni muhimu.
Ili usipoteze muda kuniandikia risala badala ya kujibu hoja kwamba jengo linatia shaka kama limeruhusiwa kuzidi ghorofa 10 as per initially approved design drawings.Nikujue ili iweje sasa?
Noma sana mkuu...!! Kwa macho unaweza hisi gorofa litadondoka ila wanaume walikaa wakapiga hesabu zote...Bila kusahau compressive strength ya zege..