Mkuu, jengo halijengwi na mtu mmoja, unspoona jengo kama hilo kuna wafuatao wanahudika:
1. Architect...huyu ni mchoraji
Na baada ya mchoro wakati wa ujenzi
anakuwa consultant...kuhakikisha mchoro
wake unafuatishwa
2. QS..hawa wanahuka na vifaa vya ujenzi..ubora wa kokoto, mchanga, nondo...
Hawa ndio wakadiriaji majenzi....nao ni ma consultants.
3. Kuna structural Eng...hawa nao ni wachora michoro ya chuma na kutoa ratio ya zege nk..
Nao ni ma consultsnts.
Hili jengo unaloliona lazima wawepo hawa wataalam vinginevyo huwezi kupewa KIBALI CHA UJENZI NA AWAMU HII HAKUNA UTANI.
4. Ni mjenzi mwenyewe...huyu anakaguliwa na wote niliowataja hapo juu
UPANDE WA SERIKALI WAKAGUZI NI:
1. CRB
2. ERB
3. AQRB
4. Hawa wote wanahusika hapo.
Wembamba wa nguzo sio hoja, hoja ni kuwa kafuata maelekezo ya:
1. Michoro?
2. Structural design?
Kama amefuata jengo ni SALAMA
Unaweza kuwa na manguzo Manene lakini:
1. Chuma dhaifu
2. Ratio dhaifu jengo litapiga chini mkuu
Na ndio maana nimetoa angalizo, maana kuna jengo lilishawahi kuanguka kule posta na watu walikufa, na wahusika waliwekwa ndani na hatimae wakaachiwa, lakini waliopoteza maisha ndio imetoka,sasa kama naona kitu ambacho hata kwa macho tu kinatia shaka inabidi wahusika wakajiridhishe.