FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Lile lililoanguka posta kwani halikuwa na michoro? Ilikuwepo ila shida ni pale jengo linapojengwa zaidi ya idadi iliyokuwa specified kwenye michoroHaya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...
Mchana mwema!
Ajira mkuuDah! Nilikuwa na wasi wasi na ghorofa langu ambalo nimejengea nondo za milimita 12 sasa baada ya kuliona hili nimepata moyo. Ngoja nizichange nipandishe floor nyingine ziwe tatu!
Haya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...
Mchana mwema!
Wapi nimelaumu? Mimi nimetia angalizo ili wahusika wakajiridhishe tu, sidhani kamankuna tatizo hapo, maana wanalipwa mishahara kwa kazi hiyo anyway..Unaweza ukawa na hoja lakini Strength haipimwi kwa unene Wa beam! ingefaa ukaweka structure ikoje ili tuichambue!
Note: Jengo linaweza kuwa na column/beam nyembamba lakini zikawa ni nyingi ili kufanya load distribution kuwa safe!.
Kwahiyo ipendeze sasa kuangalia structure kwanza kabla ya kulaumu
Unforgetable anaonekana sana kwenye comment zako mkuu nini kilicho nyuma ya pazia ama ni kama mahondaw na smartUmejuaje kama hiki alichokileta sio moja ya issue zake? Maybe hizi ndio kazi zake kwa hiyo usimjudge sana.
BTW kwa huo muonekano wa hizo nguzo ni kweli jengo linatia shaka uimara wake.
Cc Unforgetable
Nikikuambia mimi ndie niliyelichora na niliweka ghorofa 10 tu na sikupewa taarifa ya amendment utasemaje? Hahahah..., sisemi hivyo ila nasema tu, what if.Tuliza mshono wa uzazi, ingekua issue yake, kwa kiherehere hiki, lazima angetuweka wazi.
Haya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...
Mchana mwema!
Mkuu, weka wazi mambo, peleka kwa relevant bodies hiyo observation yako watayashughulikia professionally and legally, ukileta hayo mambo huku tutayashughulikia kienyeji kama nilivyofanyaNikikuambia mimi ndie niliyelichora na niliweka ghorofa 10 tu na sikupewa taarifa ya amendment utasemaje? Hahahah..., sisemi hivyo ila nasema tu, what if.
Unforgetable anaonekana sana kwenye comment zako mkuu nini kilicho nyuma ya pazia ama ni kama mahondaw na smart
Sidhani kama wanaweza kujenga jengo LA gharama kubwa kama hilo kwa wataalam wa kuokota jalalani
Siku likimdondokea je? Mambo yake ni pamoja na tahadhari juu ya usalama wake na binaadam wenzake.Mkuu, fanya issue zako, mambo ya watu achana nayo, unaweza ukawa na very limited facts kwenye hilo jambo
Mkuu jalalani unamaanisha jalalani kule jalalani?Sidhani kama wanaweza kujenga jengo LA gharama kubwa kama hilo kwa wataalam wa kuokota jalalani
Sasa wakulaumiwa ni nani hapo?Lile lililoanguka posta kwani halikuwa na michoro? Ilikuwepo ila shida ni pale jengo linapojengwa zaidi ya idadi iliyokuwa specified kwenye michoro
Sababu za jengo kuanguka ziko nyingi... hiyo ya floor kuzidi ikiwa mojawapo...Lile lililoanguka na kuua ilikuwaje?
Tunajaribu tu kujuzana... 😅Engineer Tetramelyz
Tanzania, everything is possible. Kuna jengo lilianguka. Vibao vyote vilikuwa vya kununua. Walijenga wenye jengo kimtindo mtindoSidhani kama wanaweza kujenga jengo LA gharama kubwa kama hilo kwa wataalam wa kuokota jalalani