DOKEZO Limeshafika ghorofa ya 13 na linaendelea, lakini nguzo kama njiti za kiberiti

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Basi akiguswa huyo mwenye nyumba yenye bati la kutu... Atakuambia anauza 1.2 b
Mbona ndio bei zake hizo, Kariakoo ndio sehemu pekee hapa duniani ambapo nyumba ya udongo na fito za miti inauzwa kuanzia bilioni 1 hadi 1 unusu..
 
Kwenye ujanja ujanja hapo sawa. Ila swala la kusema kuwa nguzo ni nyembamba so zinaweza kufail performance sidhani kama ni judgment nzuri.

kweli bwana, mbona Mange Kimambi ana nguzo nyembamba lakini anabeba mzigo 09months bila matata na baadae anatema english figure strong & handsome?
 
Haya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...

Mchana mwema!
KUNA JENGO LILISHUKA ZIMAZIMA LAKINI.
 
Picha hapo chini inajieleza, jengo lipo Kariakoo, limefika ghorofa kama 13 hivi na bado naona kuna nondo zimetokeza hapo juu kuashiria kwamba floor bado zinaendelea juu.

Sasa unaweza kuta michoro ya structural engineer imespecify mwisho ghorafa 10, lakini mwenye jengo anaamua tu kuongeza zaidi kwa tamaa ya pesa. Maana zile nguzo ni nyembamba sana na jengo lenyewe ni jembamba kama mlingoti.

Pia wanasema jengo moja hadi jingine inabidi paachwe nafasi walau ya kupumulia, sasa hilo jengo ni kama linataka kugusa hili lingine, kwa ukaribu huu, hata moja moto ukiwaka lazima la pili lishike moto.

Mamlaka zinazohusika zifanye ukaguzi ili lisije likaleta madhara na mwishowe tukapeperusha bendera nusu mlingoti.

View attachment 1193373
Tunasubiri lilete maafa halafu tuunde tume,watu wapate per diem, mamlaka zinazohusika zimezibwa macho,hii ndio Tanzania,Makonda sijui yupo wapi?
 
Kama mwenye sio pinga pinga wa sera za awamu ya tano basi acha aendelee, yanayotakiwa kufuatiliwa na yale wapingaji na wanaharakati
 
Haya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...

Mchana mwema!
Hata yale maghorofa yaliyoanguka mlikuwa mnasema hivi hivi
 
Haya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...

Mchana mwema!
Hivi lile lililobomoka wao hawakupewa permit.mpaka watu wafe ndio tuanze kuitukana serikali
 
Picha hapo chini inajieleza, jengo lipo Kariakoo, limefika ghorofa kama 13 hivi na bado naona kuna nondo zimetokeza hapo juu kuashiria kwamba floor bado zinaendelea juu.

Sasa unaweza kuta michoro ya structural engineer imespecify mwisho ghorafa 10, lakini mwenye jengo anaamua tu kuongeza zaidi kwa tamaa ya pesa. Maana zile nguzo ni nyembamba sana na jengo lenyewe ni jembamba kama mlingoti.

Pia wanasema jengo moja hadi jingine inabidi paachwe nafasi walau ya kupumulia, sasa hilo jengo ni kama linataka kugusa hili lingine, kwa ukaribu huu, hata moja moto ukiwaka lazima la pili lishike moto.

Mamlaka zinazohusika zifanye ukaguzi ili lisije likaleta madhara na mwishowe tukapeperusha bendera nusu mlingoti.

View attachment 1193373

Hatari hii duh, uimara wake mashaka matupu
 
Tungekuwa na raia kama wewe 500000 tu nchi hii ingenyooka.Kuna madudu mengi yanafanyika ila kwa vile tunaona kama hayatuhusu tunapotezea kumbe kwa namna moja ama nyingi ya naweza kutuumiza baadae
Popote ulipo kiongozi pata mzinga wa wiski kama inapanda... Bili njoo PM I will pay [emoji120][emoji120][emoji122][emoji122][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom