Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Kumbe pamoja na kelele za vyuma kukaza kuna watu wanajenga maghorofa!
Ok,angalizo lako ni la msingi sana,wabongo wana tabia ya kusubiria majanga ndo walaumu kila mtu ila kuchukua tahadhari na kuhoji unaonekana mnoko.
Waziri wa ujenzi ndio anajenga maghorofa ya Kariakoo? Nani anayetoa vibali?waziri Wa ujenzi kipindi hiko alikuwa nani
Naona wengi wanamshambulia mleta uzi.
Lakini kwa mkandarasi makini na wanaofuata viwango wasingetumia miti pili kungekua na zile nyavu za kuwalinda wanaopita karibu na hilo eneo.
Kadri jengo linavyozidi kuwa refu, ndivyo uimara wa miundombinu unavyotakiwa kupewa kipaumbele.
Tukumbushane kuna jengo liliwahi kupotomoka posta, yakatoka matsmko ikiwemo kushusha gharofa mojawapo jijini Dar japo sikumbuki kama lilivunjwa.
Tujifunze kuchukua tahadhari kuepusha majanga yasiyo na ulazima.
Mkuu ulichoongea hata nlifikiri ivo,Naona wengi wanamshambulia mleta uzi.
Lakini kwa mkandarasi makini na wanaofuata viwango wasingetumia miti pili kungekua na zile nyavu za kuwalinda wanaopita karibu na hilo eneo.
Kadri jengo linavyozidi kuwa refu, ndivyo uimara wa miundombinu unavyotakiwa kupewa kipaumbele.
Tukumbushane kuna jengo liliwahi kupotomoka posta, yakatoka matsmko ikiwemo kushusha gharofa mojawapo jijini Dar japo sikumbuki kama lilivunjwa.
Tujifunze kuchukua tahadhari kuepusha majanga yasiyo na ulazima.
anayetoa vibali ndiyo anajenga maghorofa ya kariakoo?Waziri wa ujenzi ndio anajenga maghorofa ya Kariakoo? Nani anayetoa vibali?
Kaka nimekukosea nini mbona unanisema hadharaniWazee wa civil huyu injinia atakua fundi maiko
Hapana. Siyo wote watashughulikia kienyeji kama wewe kwani akili zinatofautiana. Kuna wahusika na watachukuwa hatua stahiki. Hapa ndiyo sehemu sahihi kabisa ya kuweka. Kama hakuna tatizo mwenye jengo hana haja ya kuhofu chochote.Mkuu, weka wazi mambo, peleka kwa relevant bodies hiyo observation yako watayashughulikia professionally and legally, ukileta hayo mambo huku tutayashughulikia kienyeji kama nilivyofanya
Hakupima kwa macho tu na kusema ni bovu. Amepima kwa macho halafu akaomba wahusika wafuatilie ili kujiridhisha..Kupima kwa macho tu sidhani kama ni sahihi.
Ni muhimu kutagiana mkuu, hasa kwenye nyuzi zenye mambo ya msingi.Sio kwa umuhimu huo lakini
Mbona unajigonga gonga! Kama kuna ujanja ujanja basi lolote linaweza kutokea. Wacha wahusika wajiridhishe, ndiyo kazi yao. Majengo mengi yaliyoanguka watu walianza kuyatilia shaka kwa macho tu.Kwenye ujanja ujanja hapo sawa. Ila swala la kusema kuwa nguzo ni nyembamba so zinaweza kufail performance sidhani kama ni judgment nzuri.
Na yale yaliyoanguka na kuua watu hizo PERMIT, AUTHORIZATION na MAMLAKA zilikuwa likizo????Haya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...
Mchana mwema!
Wote. Kama jengo halikidhi viwango wote wana makosa. Hii thread ni ya maana sana na hili jengo linatakiwa lichunguzwe ili kujiridhisha kwani kwa muonekano wa macho tu na material zinazotumika kusaidia ujenzi inaonyesha kuna kitu hakiko sawa. Halafu limekaribiana sana sana na hilo jingine.Sasa wakulaumiwa ni nani hapo?
Aliyeruhusu jengo lijengwe tofauti na specifications?
Au aliyejenga?
Hao wanaleta ULIMBUKENI wakati majengo yaliyowahi kuua ushahidi kila mtu anafahamu... Badala ya kukujibu kitaalam wao wanajibu kama ma-LAYMAN...Nimesema natoa angalizo maana nilichokiona kinatia shaka, wapo watu ambao wanalipwa mshahara kwa ajili ya kujiridhisha, wafanye hivyo, shida iko wapi?
Tungekuwa na raia kama wewe 500000 tu nchi hii ingenyooka.Kuna madudu mengi yanafanyika ila kwa vile tunaona kama hayatuhusu tunapotezea kumbe kwa namna moja ama nyingi ya naweza kutuumiza baadae