Linah: Napenda Kuvaa Vimini na Mipasuo ili Upaja wangu Uonekane Vizuri

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Akizungumza na Global TV Online, Linah alisema kwa kuwa anapenda sehemu hiyo katika mwili wake, ndiyo maana mara nyingi hupendelea kuvaa nguo zinazoonyesha vizuri miguu yake na jinsi ilivyo mizuri.

“Ukweli huwa nachizika na upaja wangu. Napenda sana miguu yangu, ni mizuri ndiyo maana nagonga vimini au mpasuo ili mguu wangu uonekane vizuri,” alisema Linah.
 
Nimeamini maneno ya ROMA kua mcha Mungu anaweza kuzaa kahaba wakati wakati changu anaweza kuzaa Padre ivi au Sheikh maana uyu mtoto wa mchungaji na kalelewa kwenye mlengo wa kidini ila leo anaonyesha rangi yake ALLAH tuepishie kizazi chetu na laana hii ya kuona uchi au tupu za watoto wetu imagine babake anaiona hii picha.
 
Exhibitionism may be something new in Tanzania, but I see exhibitionists of all colors and ages, especially on the subway, almost on the daily.

I just put my headphones on and fire my tablet on, read my book after that initial peek to see if the undie color is hideous and pantyhose are goth chic or full of holes.
 
Huyu ndo maana alibakwa mpaka akajinyea huyu
 
Huyu lina sijui huwa ana akili gani kwenye sporah show alisema hapendi kutumia condo.m na anapenda kuvaa nguo za kubana kwasababu nyuma kajaaliwa
 
Linah jinsi alivyo na upole wake hata haifanani na anachokifanya. Binafsi nampenda sasa ananiboa
 

I hear you, but our beloved little sister here is full of holes I think..
 
Paja gani nalo hilo wenye mapaja wakitoka nae atatoka huaga wanakosa vya kuongeleaa Tyta njoo utuwekee wenye mapaja yaooo hapaa
 
Last edited by a moderator:
Paja lenyewe jeusiiiii! Anapenda paja lake badala ya kupendwaaa dah anaji.... nn au lesbian
 
kwa jinsi mi nilivyo na-experience na mapaja mazuri ya wanawake..,

paja zuri hupimwa anapokuwa amevua nguo zote...! zote kabisa!!!

sasa hapo unafanya analysis kuanzia kwenye visigino mpaka kwenye centrifugal force na nyuma ya kiuno..! lols!

otherwise,.. wathaminishaji tunashushwa grade tu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…