Linah: Napenda Kuvaa Vimini na Mipasuo ili Upaja wangu Uonekane Vizuri

Linah: Napenda Kuvaa Vimini na Mipasuo ili Upaja wangu Uonekane Vizuri

Kweli ana miguu mizuri ila hajui kuvaa wala hapendezagi
 
kimbunga wala hakukosea alivyomfira huyu dem
 
Sasa kama anasema anapenda mapaja yake, iweje tena anatuonyesha sie....si awe anashinda mbele ya kiooo afaidi hayo mapaja yake.......ndo kusema akianza kuipenda na k yake nayo pia atatuonyesha ?

I love you so much Linah.....ila kwa hili........Shindwa Linah....na ulegee.
 
Kwakweli kila binadamu huwa ana ugua lakini kuna badhi ya wanawake wana magonjwa yasiyo kwisha hasa ya kuteswa na maumbile au mionekano yao.

Huyu Linah ni mgonjwa kama wengine ndio maana anafikiri kuwa mapaja ndio kitu kizuri pekee kwenye mwili wake ndio maana ana yaacha wazi..
U staa ni mzigo mzito sana.

Wanawake walio wanachanganyikiwa wanapo jijua wao ni wazuri na ugonjwa huu uongezeka zaidi wanapo hakikishiwa na watu wapembeni.





Hivi kwanini wana wake wengi wana teswa na maumbile yao?
 
Back
Top Bottom