Linah: Napenda Kuvaa Vimini na Mipasuo ili Upaja wangu Uonekane Vizuri

Linah: Napenda Kuvaa Vimini na Mipasuo ili Upaja wangu Uonekane Vizuri

warumi naomba kujua profile ake huyu teh....

Huyo mkoboaji mkubwa binamu, sura yenyewe umeiona ilivyo ngumu kama spare tyre ya fuso, aliwah kukoboana na lulu Michael pamoja na Agnes masogange, sasa ivi anakoboana na mtoto wa mbunge mmoja ivi kisu hatar
 
Last edited by a moderator:
Na kwel paja limekolea cream lazima alioneshe kwa raia
 
Back
Top Bottom