Linah: Napenda Kuvaa Vimini na Mipasuo ili Upaja wangu Uonekane Vizuri

Linah: Napenda Kuvaa Vimini na Mipasuo ili Upaja wangu Uonekane Vizuri

1966953_515471031896549_242792178_n.jpg

Hahhahhhaja nin hiki yarabii aisee wewee duuu MONEY njoo uone huyu mwenye paja lakee
 
Last edited by a moderator:
Meusi ndio yana mvuto na kusisimua. Haya meupe kila siku nawaona wanapita mtaani na vichupi hadi nawaona kama midoli tu

Kwa wewe ulivyo ni bora upate meusi kama ya Lupita lakin wenzio weusi wanapenda meupee
 
Huyu Dada.....Mungu Amsaidie Kwakweli...Sijui Ni Limbukeni Au Nimuiteje.....
 
Exhibitionism may be something new in Tanzania, but I see exhibitionists of all colors and ages, especially on the subway, almost on the daily.

I just put my headphones on and fire my tablet on, read my book after that initial peek to see if the undie color is hideous and pantyhose are goth chic or full of holes.
sijaambulia kitu ngoja nimpigie simu mwl wangu wa eglish anirudishie chenji ya ada yangu.
 
Wakati mwingine nashindwa hata kujua kama wanatania au la!

Hawatanii ni mfumo mbovu wa elimu yetu.Wanaosema tutumie kiswahili kufundishia,watoto wao wako FM Academia wa wengine wapo Sikinde.

Ndio maana wakenya wanakuja kuchukua kazi kwenye kampuni za kigeni na kuacha watz wakilalamika
 
kwa jinsi mi nilivyo na-experience na mapaja mazuri ya wanawake..,

paja zuri hupimwa anapokuwa amevua nguo zote...! zote kabisa!!!

sasa hapo unafanya analysis kuanzia kwenye visigino mpaka kwenye centrifugal force na nyuma ya kiuno..! lols!

otherwise,.. wathaminishaji tunashushwa grade tu!!!!
hahahaha
 

Akizungumza na Global TV Online, Linah alisema kwa kuwa anapenda sehemu hiyo katika mwili wake, ndiyo maana mara nyingi hupendelea kuvaa nguo zinazoonyesha vizuri miguu yake na jinsi ilivyo mizuri.

“Ukweli huwa nachizika na upaja wangu. Napenda sana miguu yangu, ni mizuri ndiyo maana nagonga vimini au mpasuo ili mguu wangu uonekane vizuri,” alisema Linah.
Napita kando naenda zangu hapa upako hamna.
 
Kipaja chenyewe cha njiwa takataka hamna paja hapo eti linah cheki paja la kuku chini hapoImageUploadedByJamiiForums1395151680.072619.jpg
 
Back
Top Bottom