Linah: Napenda Kuvaa Vimini na Mipasuo ili Upaja wangu Uonekane Vizuri

Meusi ndio yana mvuto na kusisimua. Haya meupe kila siku nawaona wanapita mtaani na vichupi hadi nawaona kama midoli tu

Kwa wewe ulivyo ni bora upate meusi kama ya Lupita lakin wenzio weusi wanapenda meupee
 
Huyu Dada.....Mungu Amsaidie Kwakweli...Sijui Ni Limbukeni Au Nimuiteje.....
 
warumi naomba kujua profile ake huyu teh....
 
Last edited by a moderator:
sijaambulia kitu ngoja nimpigie simu mwl wangu wa eglish anirudishie chenji ya ada yangu.
 
Wakati mwingine nashindwa hata kujua kama wanatania au la!

Hawatanii ni mfumo mbovu wa elimu yetu.Wanaosema tutumie kiswahili kufundishia,watoto wao wako FM Academia wa wengine wapo Sikinde.

Ndio maana wakenya wanakuja kuchukua kazi kwenye kampuni za kigeni na kuacha watz wakilalamika
 
hahahaha
 
Napita kando naenda zangu hapa upako hamna.
 
Kipaja chenyewe cha njiwa takataka hamna paja hapo eti linah cheki paja la kuku chini hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…