Linapokuja suala la IMANI, Waafrika wanampigania Mungu. Likija suala la Haki zao za msingi, wanamwachia Mungu awapiganie!

Infropreneur

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
9,830
Reaction score
20,686
Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika.

Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania kwa nguvu zote na mabishano makali kabisa.

Lakini huyo Mungu wanaye mpigania miaka nenda rudi hajawahi kuonekana, kujitokeza, kujidhihirisha wala kuwasaidia chochote. Ni watu tu wanabaki kudai, kujifariji na kujipa matumaini uchwara kwamba wanasaidiwa na "Mungu" ilhali kiuhalisia ni wao wenyewe wanahenyeka na kukabiliana na matatizo yao.

Lakini cha kushangaza likija suala la kutetea na kupigania haki zao za msingi katika jamii wanamwachia Mungu awapiganie! Na huyo Mungu hajawahi kuwapigania kwa lolote.

Waafrika maskini wanazidi kuhujumiwa na viongozi wao wa kiserikali, Kodi zao zinaliwa, Haki zao zinaminywa, Mali na rasilimali zao zinaporwa na kutumiwa hovyo hovyo tu.

Halafu watu wanabaki kutulia na kusema tunamwachia Mungu, Mungu atatusaidia, Mungu atatulipia na kutupigania.

Sasa unajiuliza hizo nguvu za kumpigania huyo Mungu wa kufikirika kwenye dini,
Wakizielekeza na kuzitumia kwenye kupigania haki zao za msingi katika jamii zao si wataishi maisha safi kabisa?

Lakini kwa vile wengi wa waafrika wamesha pumbazwa na kuaminishwa utajiri na ufalme wa kufikirika mbinguni wala hawajihangaishi kupigania haki zao za msingi hapa duniani.

Watu wanaishi kwa kujipa matumaini uchwara ya maisha bora ya kufikirika mbinguni. Huku wakizidi kuteseka na umaskini wao, kuhujumiwa na kusulubishwa ipasavyo na viongozi wao wa serikali.

Katika maswala ya "Imani" binadamu ni kiumbe mpumbavu sana. Badala ya kujipigania yeye mwenyewe, Anapigania dhana ya kufikirika iitwayo Mungu ambayo kiuhalisia hata haijawahi kuwepo na haipo kujidhihirisha yenyewe.

No amount of prayers, faith, hope and grace can solve your problems in life for you.

No matter how strong you shout or scream the name of God in what you call praying, Your life will be miserable if you don't think, reason, plan and take productive actions to solve your own problems in life.

During those darkest moments in life when it feels like God has abandoned you, Remember that God was never with you in the first place. Because he doesn't exist in reality. He exists only in your head and in your imaginations.

The same God who has disappointed uncountable people in the world, Keep disappointing many people daily including you.

Any country waiting for God to come and help them will forever remain poor economically, medically, academically, technologically until such mental slavery religious faith is totally abolished.

Any person waiting for God to come and solve his or her problems in life will forever remain poor financially, Until such mental slavery religious faith is totally abolished.

In the jungle of life salvation is largely on your hands. No God, spiritual power or ritual can solve your problems.

If you are born into a poor financial foundation and you keep waiting for God to come and help you, You will suffer financially and die miserably.

Poverty strikes hard when laziness and ignorance is combined with prayers.

Take this bitter truth and let it sink deep in your mind.

I'm out.
 
Waafrika dini zimewapumbaza sana. Waafrika wanamuachia kila kitu Mungu wa Israel awapiganie wakati waisrael wao wanapigana kwa makombora na wanalindwa na mifumo bora ya ulinzi, hawajamuachia Mungu wao awalinde kwa sababu wanajua Mungu ni hadithi za sungura na fisi na huyo Mungu hayupo na wala uwezo wa kuwalinda hana.
 
Waafrika dini zimewapumbaza sana. Waafrika wanamuachia kila kitu Mungu wa Israel awapiganiewakati waisrael wao wanapigana kwa makombora na wanalindwa na mifumo bora ya ulinzi, hawajamuachia Mungu wao awalinde kwa sababu wanajua Mungu ni hadithi za sungura na fisi.
Any African country waiting for the God of Israel to come and help them will forever remain poor economically, medically, academically, technologically until such mental slavery religious faith is totally abolished.
 
Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika.

Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania kwa nguvu zote na mabishano makali kabisa.

Lakini huyo Mungu wanaye mpigania miaka nenda rudi hajawahi kuonekana, kujitokeza, kujidhihirisha wala kuwasaidia chochote. Ni watu tu wanabaki kudai, kujifariji na kujipa matumaini uchwara kwamba wanasaidiwa na "Mungu" ilhali kiuhalisia ni wao wenyewe wanahenyeka na kukabiliana na matatizo yao.

Lakini cha kushangaza likija suala la kutetea na kupigania haki zao za msingi katika jamii wanamwachia Mungu awapiganie! Na huyo Mungu hajawahi kuwapigania kwa lolote.

Waafrika maskini wanazidi kuhujumiwa na viongozi wao wa kiserikali, Kodi zao zinaliwa, Haki zao zinaminywa, Mali na rasilimali zao zinaporwa na kutumiwa hovyo hovyo tu.

Halafu watu wanabaki kutulia na kusema tunamwachia Mungu, Mungu atatusaidia, Mungu atatulipia na kutupigania.

Sasa unajiuliza hizo nguvu za kumpigania huyo Mungu wa kufikirika kwenye dini,
Wakizielekeza na kuzitumia kwenye kupigania haki zao za msingi katika jamii zao si wataishi maisha safi kabisa?

Lakini kwa vile wengi wa waafrika wamesha pumbazwa na kuaminishwa utajiri na ufalme wa kufikirika mbinguni wala hawajihangaishi kupigania haki zao za msingi hapa duniani.

Watu wanaishi kwa kujipa matumaini uchwara ya maisha bora ya kufikirika mbinguni. Huku wakizidi kuteseka na umaskini wao, kuhujumiwa na kusulubishwa ipasavyo na viongozi wao wa serikali.

Katika maswala ya "Imani" binadamu ni kiumbe mpumbavu sana. Badala ya kujipigania yeye mwenyewe, Anapigania dhana ya kufikirika iitwayo Mungu ambayo kiuhalisia hata haijawahi kuwepo na haipo kujidhihirisha yenyewe.

No amount of prayers, faith, hope and grace can solve your problems in life for you.

No matter how strong you shout or scream the name of God in what you call praying, Your life will be miserable if you don't think, reason, plan and take productive actions to solve your own problems in life.

During those darkest moments in life when it feels like God has abandoned you, Remember that God was never with you in the first place. Because he doesn't exist in reality. He exists only in your head and in your imaginations.

The same God who has disappointed uncountable people in the world, Keep disappointing many people daily including you.

Any country waiting for God to come and help them will forever remain poor economically, medically, academically, technologically until such mental slavery religious faith is totally abolished.

Any person waiting for God to come and solve his or her problems in life will forever remain poor financially, Until such mental slavery religious faith is totally abolished.

In the jungle of life salvation is largely on your hands. No God, spiritual power or ritual can solve your problems.

If you are born into a poor financial foundation and you keep waiting for God to come and help you, You will suffer financially and die miserably.

Poverty strikes hard when laziness and ignorance is combined with prayers.

Take this bitter truth and let it sink deep in your mind.

I'm out.
NA NDIYO MAANA WAKRISTO NA WAISLAMU WANASTAHILI KUITWA WAPUMBAVU KWA SABABU WAMEZIGEUZA DINI ZAO KUWA USHABIKI
 
Bahati mbaya sana huyo Mungu anaye achiwa mambo kila siku hajawahi kutekeleza jambo hata moja.

Ni binadamu tu wanazidi kuhenyeka na mashida yao.
Mfano mimi hua nashangaa sana, Daktari anapambana kwa taaluma yake kuokoa maisha ya mtu.

Huyu mtu akipona, yeye na nduguze wanapeleka sadaka kanisani kushukuru, Mchungaji ananunua Range.

Daktari aliyeokoa uhai anaishia kupewa ahsante tu.

Sasa jiulize hapo, kati ya Mungu na Daktari nani aliyeokoa uhai?
 
Lakini kuna namna nyingi hizi dini zinasaidia kusema kweli
Dini hazisaidii chochote zaidi ya kuendelea kuwapumbaza watu.

Dini zingekuwa zina saidia watu, Binadamu Tusingehitaji kuanzisha sheria za kiserikali kudhibiti matukio ya uvunjifu wa amani na uhalifu.

Pia tusingehitaji kuanzisha mahakama, jela wala vituo vya polisi.

Tungeacha tu mafundisho ya kidini yawe ndio msingi wa jamii na sheria za kuwaongoza binadamu.

Lakini matokeo yake dini zimefeli pakubwa kudhibiti matukio ya uvunjifu wa amani na uhalifu duniani.

Hali iliyopelekea wanadamu kukaa chini na kutafakari kisha wakaja na sheria za kiserikali ku replace sheria na mafundisho ya kidini, uanzishwaji wa jela na mahakama ku replace Jehanam(motoni), Mapolisi ku replace viongozi wa kidini. Vituo vya polisi ku replace makanisa na misikiti.

Sasa hebu fikiria kungekuwa hamna sheria za kiserikali, jela, polisi, vituo vya polisi na mahakama. Dini zingeweza kuleta Amani duniani kwa mafundisho yake tu?

Watu si wangefanya uhalifu sana wakijua kwamba kwenye dini kuna msamaha ukitubu. Sasa hali kama hii ndio ilipelekea watu kuona kwamba dini pekee haitoshi kumdhibiti binadamu.

Binadamu anahitaji kudhibitiwa kwa sheria kali sana na adhabu kali kabisa ili Amani iwepo wakati wote.

La sivyo dini na mafundisho yake hayasaidii kitu zaidi ya kutoa matumaini uchwara na imani feki tu.

The fact that religion is a tool for peace doesn't fit the facts of its History.
Watu wanahitaji kitu cha kuamini
Hapana, watu wanaweza kuishi bila kuamini chochote.
 
Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika.

Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania kwa nguvu zote na mabishano makali kabisa.

Lakini huyo Mungu wanaye mpigania miaka nenda rudi hajawahi kuonekana, kujitokeza, kujidhihirisha wala kuwasaidia chochote. Ni watu tu wanabaki kudai, kujifariji na kujipa matumaini uchwara kwamba wanasaidiwa na "Mungu" ilhali kiuhalisia ni wao wenyewe wanahenyeka na kukabiliana na matatizo yao.

Lakini cha kushangaza likija suala la kutetea na kupigania haki zao za msingi katika jamii wanamwachia Mungu awapiganie! Na huyo Mungu hajawahi kuwapigania kwa lolote.

Waafrika maskini wanazidi kuhujumiwa na viongozi wao wa kiserikali, Kodi zao zinaliwa, Haki zao zinaminywa, Mali na rasilimali zao zinaporwa na kutumiwa hovyo hovyo tu.

Halafu watu wanabaki kutulia na kusema tunamwachia Mungu, Mungu atatusaidia, Mungu atatulipia na kutupigania.

Sasa unajiuliza hizo nguvu za kumpigania huyo Mungu wa kufikirika kwenye dini,
Wakizielekeza na kuzitumia kwenye kupigania haki zao za msingi katika jamii zao si wataishi maisha safi kabisa?

Lakini kwa vile wengi wa waafrika wamesha pumbazwa na kuaminishwa utajiri na ufalme wa kufikirika mbinguni wala hawajihangaishi kupigania haki zao za msingi hapa duniani.

Watu wanaishi kwa kujipa matumaini uchwara ya maisha bora ya kufikirika mbinguni. Huku wakizidi kuteseka na umaskini wao, kuhujumiwa na kusulubishwa ipasavyo na viongozi wao wa serikali.

Katika maswala ya "Imani" binadamu ni kiumbe mpumbavu sana. Badala ya kujipigania yeye mwenyewe, Anapigania dhana ya kufikirika iitwayo Mungu ambayo kiuhalisia hata haijawahi kuwepo na haipo kujidhihirisha yenyewe.

No amount of prayers, faith, hope and grace can solve your problems in life for you.

No matter how strong you shout or scream the name of God in what you call praying, Your life will be miserable if you don't think, reason, plan and take productive actions to solve your own problems in life.

During those darkest moments in life when it feels like God has abandoned you, Remember that God was never with you in the first place. Because he doesn't exist in reality. He exists only in your head and in your imaginations.

The same God who has disappointed uncountable people in the world, Keep disappointing many people daily including you.

Any country waiting for God to come and help them will forever remain poor economically, medically, academically, technologically until such mental slavery religious faith is totally abolished.

Any person waiting for God to come and solve his or her problems in life will forever remain poor financially, Until such mental slavery religious faith is totally abolished.

In the jungle of life salvation is largely on your hands. No God, spiritual power or ritual can solve your problems.

If you are born into a poor financial foundation and you keep waiting for God to come and help you, You will suffer financially and die miserably.

Poverty strikes hard when laziness and ignorance is combined with prayers.

Take this bitter truth and let it sink deep in your mind.

I'm out.
Kutoka 14:14 BHN
[14] Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.”

Mungu Kwa ukuu wake haitaji mtu hata mmoja apigane vita Kwa ajili yake, ndio maana kwenye Ukristo hatuna jihad. Tupo tayari kufa Kwa ajili ya Imani yetu Kwa YHWH lakini si Kuua watu Kwa ajili yake.
 
Mwalimu nyerere angetulia tu kwa Imani, una uhakika leo hii Kagera ingekua Tanzania.

Ukraine wangetulia tu kwa Imani leo hii wangekua wapi?

Ndio mana hua nawaambia dini ni chanzo cha umasikini.
 
Vita vya Nyerere havikua vya kiimani. Vilikua vita vya Kitaifa, katika uongozi kwenda vitani ni sawa Kwa sabbau ya nafasi Yake, jifunze kuhusu vita vya Daudi na Shauri kwenye Biblia. Lakini mtu wa kawaida kwenda Kuua ni Dhambi
 
Kutoka 14:14 BHN
[14] Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.”

Mungu Kwa ukuu wake haitaji mtu hata mmoja apigane vita Kwa ajili yake, ndio maana kwenye Ukristo hatuna jihad. Tupo tayari kufa Kwa ajili ya Imani yetu Kwa YHWH lakini si Kuua watu Kwa ajili yake.
Mungu gani ameshindwa na anashindwa kuwapigania maelfu ya watoto wachanga na wanawake wanaoteseka na wanaokufa kila kukicha maeneo mbalimbali duniani kwa njaa, vita, magonjwa na majanga ya asili?

Hivi huyo Mungu anasaidia nini?

Maelfu ya watoto wachanga wasio na hatia yeyote ile wamekufa huko Gaza kwa vita, wamekufa kwa majanga ya asili kama kimbunga idai kilichoua maelfu ya watu Mozambique na Malawi na maeneo mengine duniani.

Halafu unasema huyo Mungu anasaidia?

Anasaidia nini?
FB_IMG_1722976782305.jpg
 
Dini hazisaidii chochote zaidi ya kuendelea kuwapumbaza watu.

Dini zingekuwa zina saidia watu, Binadamu Tusingehitaji kuanzisha sheria za kiserikali kudhibiti matukio ya uvunjifu wa amani na uhalifu, mahakama, jela na vituo vya polisi.

Tungeacha tu mafundisho ya kidini yawe ndio msingi wa jamii na sheria za kuwaongoza binadamu.

Lakini matokeo yake dini zimefeli pakubwa kudhibiti matukio ya uvunjifu wa amani na uhalifu duniani.

Hali iliyopelekea wanadamu kukaa chini na kutafakari kisha wakaja na sheria za kiserikali ku replace sheria na mafundisho ya kidini, uanzishwaji wa jela na mahakama ku replace Jehanam(motoni), Mapolisi ku replace viongozi wa kidini. Vituo vya polisi ku replace makanisa na misikiti.

Sasa hebu fikiria kungekuwa hamna sheria za kiserikali, jela, polisi, vituo vya polisi na mahakama. Dini zingeweza kuleta Amani duniani kwa mafundisho yake tu?

Watu si wangefanya uhalifu sana wakijua kwamba kwenye dini kuna msamaha ukitubu. Sasa hali kama hii ndio ilipelekea watu kuona kwamba dini pekee haitoshi kumdhibiti binadamu.

Binadamu anahitaji kudhibitiwa kwa sheria kali sana na adhabu kali kabisa ili Amani iwepo wakati wote.

La sivyo dini na mafundisho yake hayasaidii kitu zaidi ya kutoa matumaini uchwara na imani feki tu.

The fact that religion is a tool for peace doesn't fit the facts of its History.

Hapana, watu wanaweza kuishi bila kuamini chochote.
sizungumzi suala la uvunjivu wa amani, hapana.

nazungumzia amani ya moyo, utulivu wa nafsi.

dini inasaidia kudumisha mshikamano kwenye jamii...

fikiria jambo kama sala; linakufanya uwafikirie wenzako katika namna ya kuwajali, na pia uwe na shukrani kuhusu mafanikio yako.

mimi naona ni kitu kizuri...

japo ndio mungu yupo ila dhana ya dini inasaidia.
 
Back
Top Bottom