Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Wale walikuwa wahalifu tu na walishughulikiwa ilivyostahili na ndio maana Serikali ya SA iliridhika. Swali jingine?

Nani kakwambia tunapokea upumbavu!? Upumbavu ni sifa ya wana Lumumba, angalia alivyojibiwa zuzu mwenzio anayedhani tunasubiri kusoma magazeti ya Musiba ndo tujue kinachoendelea duniani.ujumbe umewafikia
Kumbe ni Wahalifu, Wahalifu waliolipwa na kuratibiwa na Chama cha Siasa kinachoongoza serikali, maamdamano yakaongozwa na UV-sisimka na walupokamatwa wakaambiwa imetosha nendeni mkapumzike. Au kuna mtu katika maandamano yale alifikishwa mahakamani?Wale walikuwa wahalifu tu na walishughulikiwa ilivyostahili na ndio maana Serikali ya SA iliridhika. Swali jingine?
Kwa nini mmarekani Edward Snowden kajificha urusi miaka sasa ? Ili hali marekani ni nchi ya haki na demokrasia ?Marekani haiwauwi raia wake wanaokosoa Rais au utawala wa nchi.
Trump kapelekwa bunge la Congress na wamemuimperch lakini hajawafunga wala kupiga risasi kina Nance Peros na wabungr wa Congress.
Wako huru kisheria kumkosoa anatakiwa kujitetea.
The man is not above the law!!
Hiyo ni USA katiba inafanya kazi!!
Na RAIA anaetaka kuikomoa NCHI yake huyo hafai kabisa ni sawa na mtoto mchawi anaetaka kula baba yake asiye mchawiHoja haiendani na hali halisi. Kulinda maslahi ya nchi kunaanzia ndani.
Kwa mfumo wa USA mwaka wa kwanza wa utawala wa Magufuli angesha ondolewa madarakani na pengine kushtakiwa kabisa.
Tukiorodhesha hapa mambo ambayo yangesababisha kumuondoa tutajaza saver bure maana ni mengi mno!
Sisi hatuna maadui wa nchi, kwa lipi hasa? Tunao wahalifu wa makosa ya jinai ambao wanastahili kushtakiwa kwa mujibu wa sheria na kwa makosa yao halisi sio KUWABAMBIKIA makosa mengine yasiyo dhamana kuwakomoa.
Nchi ikifikia mahali pa kukomoa RAIA wake basi utawala huo haufai kabisa ni sawa na mchawi anayekula nyama wanawe.
Mkuu maslahi ya nchi inatakiwa kulindwa kwa ghalama yoyote ikiwa ni pa1 na kumwaga damu. Kwani usalama wa nchi ukiteteleka ghalama ya kuurudisha ni kubwa sana.LINAPOKUJA SWALA LA KUTISHIA MASLAHI NA USALAMA WA MAREKANI, HUWA HAIHITAJI KUOMBA USHAURI, KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU WALA KUTII SHERIA ZA KIMATAIFA:
Ukiitazama nchi ya Marekani katika taswira ya macho, unaweza kudhani kwamba, ni taifa la kidemokrasia linalofuata utawala wa sheria na kulinda haki za binadamu ikiwemo kuheshimu sheria za kimataifa, mipaka ya kiutawala ya nchi nyingine, lakini kiuhalisia wa mambo, Marekani ndilo taifa linaloongoza kwa kuvunja haki za binadamu duniani kuliko taifa jingine, ni taifa linaloongoza kwa kuvunja utawala wa sheria duniani, ni taifa linaloongoza kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine pasipo kuheshimu uhuru wa nchi kujitawala na kujiamulia mambo yake, na pia ni taifa linaloongoza kwa kuzua migogoro au machafuko na vita vya wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbali mbali, hususani panapokuwa na rasilimali adimu inazozihitajika kujenga uchumi wake zilizoko katika nchi husika.
Kuna baadhi ya Watanzania wapumbavu na wajinga wakiwemo Wanasiasa wa upinzani na Wanaharakati wanaodhani serikali ya Tanzania inapochukua hatua kali za kisheria dhidi ya wale wanaotishia amani na usalama wa nchi kwamba, kwa kufanya hivyo inakandamiza haki za binadamu, inakandamiza demokrasia na kuminya uhuru wa watu kujieleza na kutoa maoni, lakini wanachosahau ni kwamba, kwa taifa la Marekani, inapotokea mtu au kikundi cha watu kutishia usalama na maslahi ya Marekani, haijalishi ni ndani ya mipaka ya Marekani au nje ya mipaka ya Marekani, mahali popote duniani, Marekani huwa haihitaji kuomba ushauri kwa mtu wala kuheshimu sheria za kimataifa, isipokuwa huchukua hatua kali inavyoona zinafaa kwa wakati huo kutegemeana na mazingira, wakati mwingine ikibidi hata kuua.
Katika kuthibitisha kwamba, maslahi na usalama wa Marekani mahali popote duniani ni kipaumbele cha kwanza kisichohitaji kuchezewa, hapo jana tarehe 03rd January, 2020 Rais wa Marekani Donald Trump aliamuru kuuawa kwa Jenerali wa Iran Qasseem Soleiman kupitia shambulio la ndege isiyokuwa na rubani (drone) eneo la uwanja wa ndege wa Baghdad nchini Iraq. Shambulio hili la jana ni majibu kufuatia wiki iliyopita waandamanaji kuvamia na kuushambulia Ubalozi wa Marekani nchini Iraq.
Huyu alikuwa Mkuu wa kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi nchini Iran. Anadaiwa kuwa mmoja wa watu makatili kuwahi kutokea katika eneo la ukanda wa Mashariki ya kati. Alikuwa akiaminiwa sana na kiongozi wa kidini wa Iran, kutokana na kupanga na kuratibu makundi mbali mbali ya kihalifu ikiwemo kuisaidia Syria katika vita vyake na Islamic State (IS) iliyoratibiwa na Marekani kutaka kuuangusha utawala wa Rais Assad. Kuuawa kwa Jenerali huyu licha ya kwamba ni pigo kubwa kwa Iran, pia kunaweza kuchochea vita kamili kati ya Marekani na Iran ambayo tayari imeapa kulipiza kisasi, huku Marekani ikipeleka askari zaidi na 3,500 na vifaa vya kijeshi ghuba ya Uajemi nchini Iraq.
Kupitia shambulio hili la Marekani lililomuua Jenerali wa Iran huko nchini Iraq, watanzania tuanze kujifunza na kutambua kwamba, usalama wa nchi ni kipaumbele cha kwanza. Hatuwezi kufanya siasa za kidemokrasia iwapo nchi haina usalama, hatuwezi kuwa na uhuru wa kujieleza na kutoa maoni ikiwa nchi haina usalama, wala hatuwezi kuzungumzia haki za binadamu endapo taifa halina usalama. Kwa msingi huo tutambuwe kwamba, hakuna kazi ngumu na nyeti kwa nchi kama kulinda na kudumisha usalama na amani.
Kazi ya kulinda na kudumisha usalama katika nchi, si swala la mchezo mchezo. Tunapoona na kushuhudia amani iliyopo katika nchi, tusidhani wala kufikiri kwamba ni kudra ya mwenyezi Mungu. Wapo maadui wa kila aina wanaopanga kuihujumu nchi yetu kila uchao, wakiwemo watanzania wenzetu wanaokubali kutumiwa na maadui, lakini wote hao wanashindwa kutokana na mifumo ya ulinzi na usalama wa nchi kuwa imara wakati wote. Katika hali ya kawaida huwezi kutarajia kuwaona maafisa wa kibalozi wa nchi za kigeni wakihudhuria mahakamani kwenye kesi anayoshitakiwa mtanzania mweusi kwenye nchi yake. Mkiona hivyo, basi mjuwe kisu kimekata mfupa. Wanafanya kila wawezalo kumnasua mtu wao waliyekuwa wakimtumia kwa mambo maovu ikiwemo kuhatarisha usalama wa nchi yetu. Kwa kuilinganisha Tanzania na Marekani, Tanzania ndiyo nchi yenye utawala wa kisheria ambayo mtu akivunja sheria, anafikishwa mbele ya sheria, tofauti na Marekani ambayo inajichukulia sheria mkononi kuvuka mipaka na kwenda kuua raia wa nchi nyingine, halafu wajinga na wapumbavu wanaipigia makofi na kuitolea mfano wa wa kuigwa. Tangu alipouawa Jenerali wa Iran huko Iraq, Wanasiasa na Wanaharakati wa Tanzania, wamenyamaza kimya, hakuna aliyenyanyua mdomo kulaani au kukemea kilichofanywa na Mareksni kwa Jenerali Qasseem Soleiman wa Iran.
Mwisho niiombe serikali, katika swala la kulinda na kusimamia usalama wa nchi, isilegeze kamba kwa mtu yeyote atakayetishia usalama wa nchi yetu kwa namna yoyote. Isiangalie umaarufu alionao wala nafasi yake kwenye jamii. Watu wa nchi nyingine wanakimbilia kwetu kwa sababu ya usalama na amani iliyopo. Endapo tukiivuruga nchi yetu, sisi tutakimbilia wapi? Atakayejaribu au kuthubutu kuvuruga amani na usslama wa nchi yetu, basi avurugwe yeye kwanza kabla nchi haijavurugika.
Ndugu King wapinzani wa nchi yetu sio wa kutoa challenge kwa serikali! Kazi yao kuu ni kupinga kila kitu hata kama kwa macho na hisia zao wanaona manufaa mbeleni juu ya jambo hilo !Ndiyo akili za baadhi ya nchi za Africa zinapoishia, zinajua adui wa maendeleo yako ni yule anakukusoa nchini mwako (eti hasa wapinzani). Wakati mpinzani wako anakupa challenge ya hapa kuna tatizo, kwa hiyo nilitatue kivipi,, Sasa kwa nchi zetu mtu yeyote anaye kukusoa ni kwamba hapa tunakosea, tunamuona kama adui wa nchi, maendeleo na adui wako...
Ndiyo vinatokea vitu kama kutekana, kesi kubambikiwa, kukamwatwa bila kusahau kushambulia kwa njia tofauti______bullet
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakuwa Serikali ya SA iliridhika, shaka yako inatoka wapi? Wapeleke wewe basi mahakamani kwa niaba ya SA. Acha kulalama tu humu. Do something like Americans!Kumbe ni Wahalifu, Wahalifu waliolipwa na kuratibiwa na Chama cha Siasa kinachoongoza serikali, maamdamano yakaongozwa na UV-sisimka na walupokamatwa wakaambiwa imetosha nendeni mkapumzike. Au kuna mtu katika maandamano yale alifikishwa mahakamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu Tanzania maslahi ya nchi yamewekwa mbali sanaaaaaa,kinachoangaliwa ni maslahi ya CCM, kila kinachofanyika ni kuhakikisha kwanza CCM IPO salama bila kujali maumivu ya wananchiLINAPOKUJA SWALA LA KUTISHIA MASLAHI NA USALAMA WA MAREKANI, HUWA HAIHITAJI KUOMBA USHAURI, KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU WALA KUTII SHERIA ZA KIMATAIFA:
Ukiitazama nchi ya Marekani katika taswira ya macho, unaweza kudhani kwamba, ni taifa la kidemokrasia linalofuata utawala wa sheria na kulinda haki za binadamu ikiwemo kuheshimu sheria za kimataifa, mipaka ya kiutawala ya nchi nyingine, lakini kiuhalisia wa mambo, Marekani ndilo taifa linaloongoza kwa kuvunja haki za binadamu duniani kuliko taifa jingine, ni taifa linaloongoza kwa kuvunja utawala wa sheria duniani, ni taifa linaloongoza kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine pasipo kuheshimu uhuru wa nchi kujitawala na kujiamulia mambo yake, na pia ni taifa linaloongoza kwa kuzua migogoro au machafuko na vita vya wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbali mbali, hususani panapokuwa na rasilimali adimu inazozihitajika kujenga uchumi wake zilizoko katika nchi husika.
Kuna baadhi ya Watanzania wapumbavu na wajinga wakiwemo Wanasiasa wa upinzani na Wanaharakati wanaodhani serikali ya Tanzania inapochukua hatua kali za kisheria dhidi ya wale wanaotishia amani na usalama wa nchi kwamba, kwa kufanya hivyo inakandamiza haki za binadamu, inakandamiza demokrasia na kuminya uhuru wa watu kujieleza na kutoa maoni, lakini wanachosahau ni kwamba, kwa taifa la Marekani, inapotokea mtu au kikundi cha watu kutishia usalama na maslahi ya Marekani, haijalishi ni ndani ya mipaka ya Marekani au nje ya mipaka ya Marekani, mahali popote duniani, Marekani huwa haihitaji kuomba ushauri kwa mtu wala kuheshimu sheria za kimataifa, isipokuwa huchukua hatua kali inavyoona zinafaa kwa wakati huo kutegemeana na mazingira, wakati mwingine ikibidi hata kuua.
Katika kuthibitisha kwamba, maslahi na usalama wa Marekani mahali popote duniani ni kipaumbele cha kwanza kisichohitaji kuchezewa, hapo jana tarehe 03rd January, 2020 Rais wa Marekani Donald Trump aliamuru kuuawa kwa Jenerali wa Iran Qasseem Soleiman kupitia shambulio la ndege isiyokuwa na rubani (drone) eneo la uwanja wa ndege wa Baghdad nchini Iraq. Shambulio hili la jana ni majibu kufuatia wiki iliyopita waandamanaji kuvamia na kuushambulia Ubalozi wa Marekani nchini Iraq.
Huyu alikuwa Mkuu wa kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi nchini Iran. Anadaiwa kuwa mmoja wa watu makatili kuwahi kutokea katika eneo la ukanda wa Mashariki ya kati. Alikuwa akiaminiwa sana na kiongozi wa kidini wa Iran, kutokana na kupanga na kuratibu makundi mbali mbali ya kihalifu ikiwemo kuisaidia Syria katika vita vyake na Islamic State (IS) iliyoratibiwa na Marekani kutaka kuuangusha utawala wa Rais Assad. Kuuawa kwa Jenerali huyu licha ya kwamba ni pigo kubwa kwa Iran, pia kunaweza kuchochea vita kamili kati ya Marekani na Iran ambayo tayari imeapa kulipiza kisasi, huku Marekani ikipeleka askari zaidi na 3,500 na vifaa vya kijeshi ghuba ya Uajemi nchini Iraq.
Kupitia shambulio hili la Marekani lililomuua Jenerali wa Iran huko nchini Iraq, watanzania tuanze kujifunza na kutambua kwamba, usalama wa nchi ni kipaumbele cha kwanza. Hatuwezi kufanya siasa za kidemokrasia iwapo nchi haina usalama, hatuwezi kuwa na uhuru wa kujieleza na kutoa maoni ikiwa nchi haina usalama, wala hatuwezi kuzungumzia haki za binadamu endapo taifa halina usalama. Kwa msingi huo tutambuwe kwamba, hakuna kazi ngumu na nyeti kwa nchi kama kulinda na kudumisha usalama na amani.
Kazi ya kulinda na kudumisha usalama katika nchi, si swala la mchezo mchezo. Tunapoona na kushuhudia amani iliyopo katika nchi, tusidhani wala kufikiri kwamba ni kudra ya mwenyezi Mungu. Wapo maadui wa kila aina wanaopanga kuihujumu nchi yetu kila uchao, wakiwemo watanzania wenzetu wanaokubali kutumiwa na maadui, lakini wote hao wanashindwa kutokana na mifumo ya ulinzi na usalama wa nchi kuwa imara wakati wote. Katika hali ya kawaida huwezi kutarajia kuwaona maafisa wa kibalozi wa nchi za kigeni wakihudhuria mahakamani kwenye kesi anayoshitakiwa mtanzania mweusi kwenye nchi yake. Mkiona hivyo, basi mjuwe kisu kimekata mfupa. Wanafanya kila wawezalo kumnasua mtu wao waliyekuwa wakimtumia kwa mambo maovu ikiwemo kuhatarisha usalama wa nchi yetu. Kwa kuilinganisha Tanzania na Marekani, Tanzania ndiyo nchi yenye utawala wa kisheria ambayo mtu akivunja sheria, anafikishwa mbele ya sheria, tofauti na Marekani ambayo inajichukulia sheria mkononi kuvuka mipaka na kwenda kuua raia wa nchi nyingine, halafu wajinga na wapumbavu wanaipigia makofi na kuitolea mfano wa wa kuigwa. Tangu alipouawa Jenerali wa Iran huko Iraq, Wanasiasa na Wanaharakati wa Tanzania, wamenyamaza kimya, hakuna aliyenyanyua mdomo kulaani au kukemea kilichofanywa na Mareksni kwa Jenerali Qasseem Soleiman wa Iran.
Mwisho niiombe serikali, katika swala la kulinda na kusimamia usalama wa nchi, isilegeze kamba kwa mtu yeyote atakayetishia usalama wa nchi yetu kwa namna yoyote. Isiangalie umaarufu alionao wala nafasi yake kwenye jamii. Watu wa nchi nyingine wanakimbilia kwetu kwa sababu ya usalama na amani iliyopo. Endapo tukiivuruga nchi yetu, sisi tutakimbilia wapi? Atakayejaribu au kuthubutu kuvuruga amani na usslama wa nchi yetu, basi avurugwe yeye kwanza kabla nchi haijavurugika.
Tofauti ya Marekani na hiyo nchi yako uliyoitolea mfano when it comes to human rights ni kwamba,Marekani wanalinda haki ya kuishi ya watu wao kwa gharama yeyote.LINAPOKUJA SWALA LA KUTISHIA MASLAHI NA USALAMA WA MAREKANI, HUWA HAIHITAJI KUOMBA USHAURI, KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU WALA KUTII SHERIA ZA KIMATAIFA:

..kwa Wamarekani huwezi kumshambulia mnadhimu wa kambi ya upinzani ktk house of representatives au senate halafu vyombo vyao vya dola visichukue hatua.
..Na magaidi kama wa hapa kwetu waliojaribu kumuua Tundu Lissu wangetafutwa mpaka wapatikane.
Mkuu umeandika ujumbe muhim sana! Wale wasaka tonge wapite hapa wausome! Saafi kabisa.LINAPOKUJA SWALA LA KUTISHIA MASLAHI NA USALAMA WA MAREKANI, HUWA HAIHITAJI KUOMBA USHAURI, KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU WALA KUTII SHERIA ZA KIMATAIFA:

Hao wanaojiteka na kujipiga risasi ni wasariti wa nchi hii waziwazi ! Wangekuwa niwamarekani wangefatwa na kuuwawa hukohuko waliko!Tofauti ya Marekani na hiyo nchi yako uliyoitolea mfano when it comes to human rights ni kwamba,Marekani wanalinda haki ya kuishi ya watu wao kwa gharama yeyote.
Mfano wamepeleka Jeshi Iraq kuwalinda watumishi wao dhidi ya uhuni wa Iran
Lakini kwa nchi uliyoitolea mfano,Serikali inawaona watu wake wenyewe kuwa ni Maadui na kuwateka,kuwapiga risasi na kuwafanya waishi kama mashetani.
See the difference
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Na pale ikulu Trump anajitegemea kasoro kulala tu ndio bure. Vingine vyote analipa umeme, maji kila kitu mpaka usafiVitu unavyofananisha hata haviendani ! Marekani kumuua kamanda wa Irani.
Kuna fanana vipi na Tanzania kuwaua raia wake.
Wamarekani hata Trump wanamuita mwendawazimu katika ukosoaji lakini hajawaua. Na wala katiba haimruhusu.
Usipuuze democrasia ya marekani, na jeuri ya Trump kama bunge halijaruhusu matumizi ya fedha hagusi.
Hapa Tanzania fedha zinatumika kwa jina la kifungu cha ikulu ili kisikaguliwe.
Amerika maslahi ya nchi ni pale maslahi ya nchi yanapoguswa
Wakati Tanzania maslahi ya nchi ni pale maslahi ya ccm yanapoguswa.
Acha uboya wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo bora kuwapoteza au?Ndugu King wapinzani wa nchi yetu sio wa kutoa challenge kwa serikali! Kazi yao kuu ni kupinga kila kitu hata kama kwa macho na hisia zao wanaona manufaa mbeleni juu ya jambo hilo !
Ni hawa wapinzani wakipinga sana mradi wa Rufiji HEP, walipinga SGR, wanapinga mpaka kesho Fleet expansion ya ATCL. Kifupi miradi yote strategic ya maendeleo wanapinga hasa Zitto Kabwe. JPM angewasikiliza kwa kila hoja zao tusingetoka tulipo.
Watapotea wenyewe kwa kusababishwa na wanaowatuma.
Mtoa mada umeanza vema utambulisho wa Jenerali wa Iran, ...mtu hatari! Huwezi mlinganisha na kina Lissu,Kabendera hapa Tz.Hivi unadhani dunia ingekuwa vp Alkaida,Isis,Hezbola nk wangeachwa washamiri!? Tumshukuru Mungu kuwatumia Wamarekani kutuliza upepo mchafu wa dunia hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sijasoma hadi mwisho maana inaonekana hata hujui tofauti ya ccm,Taifa na serikali na kama vigezo anavyotumia rais kuteua wasaidizi wake ndo upuuzi huu mnaouandika,Basi Tanzania ya uchumi wa kati IPO karibu sana,tutembee tu kifua mbeleLINAPOKUJA SWALA LA KUTISHIA MASLAHI NA USALAMA WA MAREKANI, HUWA HAIHITAJI KUOMBA USHAURI, KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU WALA KUTII SHERIA ZA KIMATAIFA: