Linapokuja suala la kulinda maslahi ya nchi Marekani haina msamaha. Watanzania jifunzeni kwa Marekani

Wale walikuwa wahalifu tu na walishughulikiwa ilivyostahili na ndio maana Serikali ya SA iliridhika. Swali jingine?
Kumbe ni Wahalifu, Wahalifu waliolipwa na kuratibiwa na Chama cha Siasa kinachoongoza serikali, maamdamano yakaongozwa na UV-sisimka na walupokamatwa wakaambiwa imetosha nendeni mkapumzike. Au kuna mtu katika maandamano yale alifikishwa mahakamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini mmarekani Edward Snowden kajificha urusi miaka sasa ? Ili hali marekani ni nchi ya haki na demokrasia ?
 
Kama point yako ni kutokana na kifo cha Bwana Qasem Soleimani, nikukumbushe tu kuwa Marekani haifanyi assassination kwa raia wake. Ni ilipofanya kwa Anwar al-Awlaki, ilibidi mpaka Obama atoe taarifa kwa nchi.
 
Na RAIA anaetaka kuikomoa NCHI yake huyo hafai kabisa ni sawa na mtoto mchawi anaetaka kula baba yake asiye mchawi
 
Mkuu maslahi ya nchi inatakiwa kulindwa kwa ghalama yoyote ikiwa ni pa1 na kumwaga damu. Kwani usalama wa nchi ukiteteleka ghalama ya kuurudisha ni kubwa sana.

Hivyo akionekana mtu m1 ana viashiria vya kuichafua nchi dawa ni kumfyekelea mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu King wapinzani wa nchi yetu sio wa kutoa challenge kwa serikali! Kazi yao kuu ni kupinga kila kitu hata kama kwa macho na hisia zao wanaona manufaa mbeleni juu ya jambo hilo !

Ni hawa wapinzani wakipinga sana mradi wa Rufiji HEP, walipinga SGR, wanapinga mpaka kesho Fleet expansion ya ATCL. Kifupi miradi yote strategic ya maendeleo wanapinga hasa Zitto Kabwe. JPM angewasikiliza kwa kila hoja zao tusingetoka tulipo.
 
Kwakuwa Serikali ya SA iliridhika, shaka yako inatoka wapi? Wapeleke wewe basi mahakamani kwa niaba ya SA. Acha kulalama tu humu. Do something like Americans!
 
Kwetu Tanzania maslahi ya nchi yamewekwa mbali sanaaaaaa,kinachoangaliwa ni maslahi ya CCM, kila kinachofanyika ni kuhakikisha kwanza CCM IPO salama bila kujali maumivu ya wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ya Marekani na hiyo nchi yako uliyoitolea mfano when it comes to human rights ni kwamba,Marekani wanalinda haki ya kuishi ya watu wao kwa gharama yeyote.
Mfano wamepeleka Jeshi Iraq kuwalinda watumishi wao dhidi ya uhuni wa Iran
Lakini kwa nchi uliyoitolea mfano,Serikali inawaona watu wake wenyewe kuwa ni Maadui na kuwateka,kuwapiga risasi na kuwafanya waishi kama mashetani.
See the difference

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
yah tunaendelea kuwatafuta.....
kama ina info za kusaidia upelelezi usisite kuzileta central police ama kituo chochote cha karibu nawe
..kwa Wamarekani huwezi kumshambulia mnadhimu wa kambi ya upinzani ktk house of representatives au senate halafu vyombo vyao vya dola visichukue hatua.

..Na magaidi kama wa hapa kwetu waliojaribu kumuua Tundu Lissu wangetafutwa mpaka wapatikane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeandika ujumbe muhim sana! Wale wasaka tonge wapite hapa wausome! Saafi kabisa.
 
Hao wanaojiteka na kujipiga risasi ni wasariti wa nchi hii waziwazi ! Wangekuwa niwamarekani wangefatwa na kuuwawa hukohuko waliko!
 
Na pale ikulu Trump anajitegemea kasoro kulala tu ndio bure. Vingine vyote analipa umeme, maji kila kitu mpaka usafi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo bora kuwapoteza au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump analinda usalama wa taifa lake wakati Jiwe analinda usalama wa chama chake.Tofauti iliyopo ni kubwa sawa na mbingu na ardhi!
 

Kutibu ugonjwa kabla haujakomaa ni jambo jema, hata hwa unaosema sio hatari wakiachwa kwa kisingizio cha democrasia itakuwa hatari sana kuzidi huyo jeneral wa irani, kwa hiyo wacha wazibitiwe kabla hawajakomaa,
 
Hata sijasoma hadi mwisho maana inaonekana hata hujui tofauti ya ccm,Taifa na serikali na kama vigezo anavyotumia rais kuteua wasaidizi wake ndo upuuzi huu mnaouandika,Basi Tanzania ya uchumi wa kati IPO karibu sana,tutembee tu kifua mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…