Linapokuja suala la kulinda maslahi ya nchi Marekani haina msamaha. Watanzania jifunzeni kwa Marekani

Jua ni marekani pekee ambapo bana uhuru wa raia kukosoa na kuipinga sheria na rais hayupo juu ya sheria .......Njoo afrika kosoa kidogo wanaofahamika hautawafahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ustrategic wa miradi uliyooresha ni upi?Nchi hapa dunia iliendelea kwa kuwekeza kwenye biashara ya ndege?Waethiopia wana vitu vyote hivyo ulivyovitaja,tusaidie wamefika wapi sasa?
 
Ustrategic wa miradi uliyooresha ni upi?Nchi hapa dunia iliendelea kwa kuwekeza kwenye biashara ya ndege?Waethiopia wana vitu vyote hivyo ulivyovitaja,tusaidie wamefika wapi sasa?
Hapo walipofika mkuu ! Na safari inaendelea. Shida yenu mwataka myaone mafanikio kwa muda mfupi na hamuangalii vizazi vijavyo. Rome was not built overnight! The US today is founded on strong industrial and infrastructural bases dating over 200 years ago.
 
Mkuu Ethiopia wana ndege zaidi ya 100 za ukubwa wa kila aina,wana HP kubwa zaidi Africa na wana SGR.Kabla ya waziri wao mkuu huyu mpya ilikuwa ni kawaida kuwakuta wamefungiwa kwenye malori ya cement hapa Tz na nchi nyingine wakitoroka Ethiopia kutokana na hali ngumu ya maisha.Katika hali kama hiyo hivyo vizazi vijavyo unaviangalia vipi?
 
Hao wanaojiteka na kujipiga risasi ni wasariti wa nchi hii waziwazi ! Wangekuwa niwamarekani wangefatwa na kuuwawa hukohuko waliko!
Mbweha wewe

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Wewe juha kwelikweli. Bajeti ya Marekani ya defence tu ni US$ 2Trillions ni sawa na budget kamili ya TZ ya miaka 190.
 
Kwa hiyo kuzima bunge live ni kulinda usalama wa nchi?
Kuteka watu wasio na hatia mnalinda maslahi ya nchi?
Kusingizia watu kesi za uhujumu uchumi mnalinda maslahi ya nchi?
Kuweka watu kwenye viroba na wengi kuwanyonga mkuranga manalinda maslahi ya nchi?
Kuzuia wapinzani wasishiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mnalinda usalama wa nchi?
WATANZANIA SIO WAJINGA!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kwetu Prof. Assad tu baada ya kuwaumbua na ile 1.5 trilioni walitaka kumtoa roho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa yako ni batili navya uongo.Iran haifadhili ISIS.

Iran inafadhili Hezbullah
 
Hali kadhalika hapa kwetu Tanzania hivyohivyo,ole wao watakaojipendekeza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyiye ndo wa kwanza mnoharibu amani ya nchi yetu usama wa nchi so kumshambulia kila anayeikosoa serikali huo sio usalama ninyi mnawaza umbali wa kivuli wewe lengo na hofu yako sio usalama bali usalama wa tumbo lako ndo shida yako.

Kwenu wapinzani ni maadui wa nchi ila maadui halali wa nchi hata wakija mtu kama wewe huwezi hata kujua sura yake na huna mpango naye badala yake unamuabudu. Je nikuulize aliyesaini mkataba feki wa mmadini au mafuta au gesi ili nchi isipate kipato halali sio adui wa nchi yetu. na je hao wapinzani unawashambulia kwa mawzo yako waliwahi saini wapi zaidi ya kupiga kelele kuwaambia ninyi alafu unakuja na hoja dhaifu ukiwa na lengo ovu nadni yake?
 
akili ndogo inapoongoza shida yake ndo kama hii yaani mwanzisha mada nimemshangaa sana
 
Waw
 
Wachambuzi wa siasa zetu bwanaa,!
 
ISISi iondoe hapo maana unayemtetea ndiye mwanzilishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwe tunatumia akili japo kidogo zaidi propaganda tunapochangia mijadala ama kuileta mijadala,
We mwenyewe umesema huyo jenerali alikuwa MTU katili sana na wa kuogopewa mashariki ya kati,
Halafu unalalama kuuawa kwake,inamaana ulitaka aendelee na ukatili wake?,
Ukatili ni jambo la kuungwa mkono?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…