Linda Lusingu: Muingereza mwenye asili ya Tanzania ashinda udiwani London

Huyu akija hapa mtamuita Mtanzania?
 

Huku kwetu Ukiwa serous na kuwa mzalendo unatafutia kabila lengine. Utaambiwa unatoka msumbiji ,Burundi au Rwanda!!ndiyo hatuna maendeleo
 
Heading Unataja Mtanzania... hlf habari Yenyewe Unamwelezea Mwingereza ..!

Yaani Umeamua tu 'Kutukonfyuzi'... Asubuhi asubuhi hii tena Jumapili tulivu Kama Ya Leo..!
Embu tuache Kidogo...!
Ni mpare, hata ukimfuta utaifa bado kuufuta Upare wake, na kwao ni Same.

Huo Utanzania kama mnaona wa maana kaeni nao tu, ndio maana Wanzazibar wakiwa nchi za nje wanajitambulisha ni Wazanzibar na siyo Watanzania.
 
Wenzetu wana mifumo imara wakishajiridhisha na wewe nafas kama hizo unapewa tu
Huku ndio kuna balaa maana dk moja tu unachaguliwa uraia wa nchi nyingine
 
Rais akiambiwa suala la Dual citizenship ni moja ya mambo muhimu kufanyiwa kazi haraka anakaza shingo kuanzisha mchakato wa Katiba mpya.

Ndio yale yale ya Muingereza Abdulrazack Gurnah kushinda tuzo za nobel, kelele kila kona.
 
Ameupiga mwingi hadi London 😆😆
 
Hapo kwenye kwa Borris kuweka sheria ambazo yeye hakuzifata naona kabsa wengi watapapita kama hawapaoni

Hawa ndio huwa tunasema mababa wa demokrasia na uwajibikaji.
 
Kama kawaida yetu kiwatafuta watu wenye asili ya Tanzania wakiwa wamefanikiwa jambo fulani nje na ndani ya Tanzania. Wakati wanahaso huwa hatuwajui

Umewaza kama mimi, huku viongozi husubiri mtu aliyefanikiwa kisha wachukulie pointi za mezani hapo. Nakumbuka kuna yule Mzanzibari aliyeshinda tuzo ya Nobel ya uandishi watu walivyohangaika kuona watadandia vipi ile nyota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…