Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abbas ghulamaliRostam Aziz mu Iran aligombea, Dewji, Gullamali Woote huwajui au bado mtoto wewe?
Huyu sio mtanzania kisheria ni lazima alikwisha ukana uraia wa Tanzania.Dar es Salaam. Raia wa Uingereza mwenye asili ya Tanzania, Linda Lusingu ameshinda udiwani kata ya East Barnet, iliyoko mji mkuu wa London kwa kuwashinda wagombea wenzake 10 katika uchaguzi uliofanyika Mei 5, mwaka huu.
Lusingu ambaye ni mtaalamu wa sheria za familia na watoto, ameshinda uchaguzi huo kupitia chama cha Labour na ushindi wake amechangia chama hicho kuwa na madiwani wengi katika Halmashauri ya Barnet iliyokuwa ikiongozwa na chama cha Conservative kwa miaka mingi.
Akizungumza na kituo cha televisheni cha Azam na baadaye Mwananchi, Lisungu ambaye ni mwenyeji wa Same, Kilimanjaro, alisema amekuwa mwanachama wa Labour kwa miaka 13 na kwake imekuwa safari ndefu hadi kushinda nafasi hiyo.
“Haikuwa rahisi kufikia hapa, hasa ukichukulia kuwa natoka kwenye jamii za watu weusi wachache ambao hawana uwakilishi, sikuzaliwa huku na siyo mtu mweupe, kwa hiyo kuna ubaguzi mwingi.
“Nilikwenda Uingereza nikiwa na umri wa miaka 15 na nimeishi huku kwa miaka 23. Niliingia kwenye mambo ya siasa karibu miaka 13 iliyopita baada ya kumaliza masomo ya chuo na nikapata nafasi ya kufanya kazi kwa mbunge sehemu niliyokuwa nakaa na huo ndio ukawa mwanzo wa safari hii,” alisema Lusingu.
Alisema kwa kipindi hicho alifanya naye kazi na kuona anavyofanya na kusaidia watu kwenye jamii, kama yeye alivyofika huko akiwa na mambo mengi yaliyohitaji msaada wake ikiwemo viza, nyumba na mambo mengine ambayo kama wageni wangehitaji.
Aliponipa hiyo nafasi nikaona ni nafasi nzuri na nikaendelea kuwa kwenye chama na ilipokuja hiyo nafasi nikaamua kuwania,” alisema.
Alieleza kuwa kama wanachama wa Labour walifanya kazi sana kwa kuongea na wakazi wa eneo hilo kuhusu shida zao, hasa ugumu wa maisha, gharama za kuishi na kutofurahia mambo yaliyofanywa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Borris Johnson kama marufuku ya kufungia watu (lockdown) wakati wa Uviko-19.
“Watu walipoteza ndugu zao kipindi hicho ingawa yeye alikuwa akifanya sherehe, na sheria alizoziweka alikuwa hazifuati, hicho kiliumiza watu wengi na hiyo ilitusaidia kidogo kushinda.
Lakini la muhimu ni kwamba tulifanya kazi na kuongea nao, lakini tuliwapa ilani ambayo wao waliamua kutuunga mkono na ndiyo maana tumeshinda.”
Licha ya Serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo kufanya vibaya kwenye uchaguzi huo, anaamini ushindi wa Labour umetokana na sera na ilani aliyosema ilileta matumaini kwa wananchi waliokata tamaa. Alisema alikwenda Uingereza wakati baba yake akisoma huko na yeye kusomea huko. Kwa sasa baba yake amesharudi Tanzania.
Chanzo:Gazeti la mwananchi
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Hapa nimewakumbuka Kinana, Bashe, RA, Magufuli,Zitto.
Wadanganye wengine. Aliyeshinda "kata" hiyo ni somebody nikola richer kama sijakosea. Unapotosha kwa maslahi gani?Dar es Salaam. Raia wa Uingereza mwenye asili ya Tanzania, Linda Lusingu ameshinda udiwani kata ya East Barnet, iliyoko mji mkuu wa London kwa kuwashinda wagombea wenzake 10 katika uchaguzi uliofanyika Mei 5, mwaka huu.
Lusingu ambaye ni mtaalamu wa sheria za familia na watoto, ameshinda uchaguzi huo kupitia chama cha Labour na ushindi wake amechangia chama hicho kuwa na madiwani wengi katika Halmashauri ya Barnet iliyokuwa ikiongozwa na chama cha Conservative kwa miaka mingi.
Akizungumza na kituo cha televisheni cha Azam na baadaye Mwananchi, Lisungu ambaye ni mwenyeji wa Same, Kilimanjaro, alisema amekuwa mwanachama wa Labour kwa miaka 13 na kwake imekuwa safari ndefu hadi kushinda nafasi hiyo.
“Haikuwa rahisi kufikia hapa, hasa ukichukulia kuwa natoka kwenye jamii za watu weusi wachache ambao hawana uwakilishi, sikuzaliwa huku na siyo mtu mweupe, kwa hiyo kuna ubaguzi mwingi.
“Nilikwenda Uingereza nikiwa na umri wa miaka 15 na nimeishi huku kwa miaka 23. Niliingia kwenye mambo ya siasa karibu miaka 13 iliyopita baada ya kumaliza masomo ya chuo na nikapata nafasi ya kufanya kazi kwa mbunge sehemu niliyokuwa nakaa na huo ndio ukawa mwanzo wa safari hii,” alisema Lusingu.
Alisema kwa kipindi hicho alifanya naye kazi na kuona anavyofanya na kusaidia watu kwenye jamii, kama yeye alivyofika huko akiwa na mambo mengi yaliyohitaji msaada wake ikiwemo viza, nyumba na mambo mengine ambayo kama wageni wangehitaji.
Aliponipa hiyo nafasi nikaona ni nafasi nzuri na nikaendelea kuwa kwenye chama na ilipokuja hiyo nafasi nikaamua kuwania,” alisema.
Alieleza kuwa kama wanachama wa Labour walifanya kazi sana kwa kuongea na wakazi wa eneo hilo kuhusu shida zao, hasa ugumu wa maisha, gharama za kuishi na kutofurahia mambo yaliyofanywa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Borris Johnson kama marufuku ya kufungia watu (lockdown) wakati wa Uviko-19.
“Watu walipoteza ndugu zao kipindi hicho ingawa yeye alikuwa akifanya sherehe, na sheria alizoziweka alikuwa hazifuati, hicho kiliumiza watu wengi na hiyo ilitusaidia kidogo kushinda.
Lakini la muhimu ni kwamba tulifanya kazi na kuongea nao, lakini tuliwapa ilani ambayo wao waliamua kutuunga mkono na ndiyo maana tumeshinda.”
Licha ya Serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo kufanya vibaya kwenye uchaguzi huo, anaamini ushindi wa Labour umetokana na sera na ilani aliyosema ilileta matumaini kwa wananchi waliokata tamaa. Alisema alikwenda Uingereza wakati baba yake akisoma huko na yeye kusomea huko. Kwa sasa baba yake amesharudi Tanzania.
Chanzo:Gazeti la mwananchi
Atakuwa kaukana wa Bongo kaukumbatia uraia wenye asali na maziwa.Kwahyo ana passport ya Tanzania?
Tunaupiga mwingi bana mbona unaturudisha nyuma unalitakia nini hili Taifa?Wadanganye wengine. Aliyeshinda "kata" hiyo ni somebody nikola richer kama sijakosea. Unapotosha kwa maslahi gani?
Huyu sio mtanzania kisheria ni lazima alikwisha ukana uraia wa Tanzania.
Amebaki kuwa Muingereza mwenye asili ya Tanzania.
Ameshindaje sasa hapo?Dar es Salaam. Raia wa Uingereza mwenye asili ya Tanzania, Linda Lusingu ameshinda udiwani kata ya East Barnet, iliyoko mji mkuu wa London kwa kuwashinda wagombea wenzake 10 katika uchaguzi uliofanyika Mei 5, mwaka huu.
Lusingu ambaye ni mtaalamu wa sheria za familia na watoto, ameshinda uchaguzi huo kupitia chama cha Labour na ushindi wake amechangia chama hicho kuwa na madiwani wengi katika Halmashauri ya Barnet iliyokuwa ikiongozwa na chama cha Conservative kwa miaka mingi.
Akizungumza na kituo cha televisheni cha Azam na baadaye Mwananchi, Lisungu ambaye ni mwenyeji wa Same, Kilimanjaro, alisema amekuwa mwanachama wa Labour kwa miaka 13 na kwake imekuwa safari ndefu hadi kushinda nafasi hiyo.
“Haikuwa rahisi kufikia hapa, hasa ukichukulia kuwa natoka kwenye jamii za watu weusi wachache ambao hawana uwakilishi, sikuzaliwa huku na siyo mtu mweupe, kwa hiyo kuna ubaguzi mwingi.
“Nilikwenda Uingereza nikiwa na umri wa miaka 15 na nimeishi huku kwa miaka 23. Niliingia kwenye mambo ya siasa karibu miaka 13 iliyopita baada ya kumaliza masomo ya chuo na nikapata nafasi ya kufanya kazi kwa mbunge sehemu niliyokuwa nakaa na huo ndio ukawa mwanzo wa safari hii,” alisema Lusingu.
Alisema kwa kipindi hicho alifanya naye kazi na kuona anavyofanya na kusaidia watu kwenye jamii, kama yeye alivyofika huko akiwa na mambo mengi yaliyohitaji msaada wake ikiwemo viza, nyumba na mambo mengine ambayo kama wageni wangehitaji.
Aliponipa hiyo nafasi nikaona ni nafasi nzuri na nikaendelea kuwa kwenye chama na ilipokuja hiyo nafasi nikaamua kuwania,” alisema.
Alieleza kuwa kama wanachama wa Labour walifanya kazi sana kwa kuongea na wakazi wa eneo hilo kuhusu shida zao, hasa ugumu wa maisha, gharama za kuishi na kutofurahia mambo yaliyofanywa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Borris Johnson kama marufuku ya kufungia watu (lockdown) wakati wa Uviko-19.
“Watu walipoteza ndugu zao kipindi hicho ingawa yeye alikuwa akifanya sherehe, na sheria alizoziweka alikuwa hazifuati, hicho kiliumiza watu wengi na hiyo ilitusaidia kidogo kushinda.
Lakini la muhimu ni kwamba tulifanya kazi na kuongea nao, lakini tuliwapa ilani ambayo wao waliamua kutuunga mkono na ndiyo maana tumeshinda.”
Licha ya Serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo kufanya vibaya kwenye uchaguzi huo, anaamini ushindi wa Labour umetokana na sera na ilani aliyosema ilileta matumaini kwa wananchi waliokata tamaa. Alisema alikwenda Uingereza wakati baba yake akisoma huko na yeye kusomea huko. Kwa sasa baba yake amesharudi Tanzania.
Chanzo:Gazeti la mwananchi
Hajaishukuru Halmashauri kuu ya ccm kwa kumuamini?..Ni Mtanzania.
..Hata kwenye hotuba yake ya ushindi amemshukuru Mama.
..Pia amekitaja Chama cha Mapinduzi, kuwa ndicho kilichomlea.
Warangi wanaishi
Uko Uingereza wanaishi tu waingereza peke yao?Warangi wanaishi Same?
Mshana Jr yule mkabila ?Ni sawa unasema Mshana Jr hoyeee, are you serious kweli
View attachment 2225358
Habari bila picha hainogi.
Hongera zake. Akumbuke kuwa hiyo yote ni kwa sababu ya juhudi za Rais Samia. Asisahau kumshukuru rais SamiaDar es Salaam. Raia wa Uingereza mwenye asili ya Tanzania, Linda Lusingu ameshinda udiwani kata ya East Barnet, iliyoko mji mkuu wa London kwa kuwashinda wagombea wenzake 10 katika uchaguzi uliofanyika Mei 5, mwaka huu.
Lusingu ambaye ni mtaalamu wa sheria za familia na watoto, ameshinda uchaguzi huo kupitia chama cha Labour na ushindi wake amechangia chama hicho kuwa na madiwani wengi katika Halmashauri ya Barnet iliyokuwa ikiongozwa na chama cha Conservative kwa miaka mingi.
Akizungumza na kituo cha televisheni cha Azam na baadaye Mwananchi, Lisungu ambaye ni mwenyeji wa Same, Kilimanjaro, alisema amekuwa mwanachama wa Labour kwa miaka 13 na kwake imekuwa safari ndefu hadi kushinda nafasi hiyo.
“Haikuwa rahisi kufikia hapa, hasa ukichukulia kuwa natoka kwenye jamii za watu weusi wachache ambao hawana uwakilishi, sikuzaliwa huku na siyo mtu mweupe, kwa hiyo kuna ubaguzi mwingi.
“Nilikwenda Uingereza nikiwa na umri wa miaka 15 na nimeishi huku kwa miaka 23. Niliingia kwenye mambo ya siasa karibu miaka 13 iliyopita baada ya kumaliza masomo ya chuo na nikapata nafasi ya kufanya kazi kwa mbunge sehemu niliyokuwa nakaa na huo ndio ukawa mwanzo wa safari hii,” alisema Lusingu.
Alisema kwa kipindi hicho alifanya naye kazi na kuona anavyofanya na kusaidia watu kwenye jamii, kama yeye alivyofika huko akiwa na mambo mengi yaliyohitaji msaada wake ikiwemo viza, nyumba na mambo mengine ambayo kama wageni wangehitaji.
Aliponipa hiyo nafasi nikaona ni nafasi nzuri na nikaendelea kuwa kwenye chama na ilipokuja hiyo nafasi nikaamua kuwania,” alisema.
Alieleza kuwa kama wanachama wa Labour walifanya kazi sana kwa kuongea na wakazi wa eneo hilo kuhusu shida zao, hasa ugumu wa maisha, gharama za kuishi na kutofurahia mambo yaliyofanywa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Borris Johnson kama marufuku ya kufungia watu (lockdown) wakati wa Uviko-19.
“Watu walipoteza ndugu zao kipindi hicho ingawa yeye alikuwa akifanya sherehe, na sheria alizoziweka alikuwa hazifuati, hicho kiliumiza watu wengi na hiyo ilitusaidia kidogo kushinda.
Lakini la muhimu ni kwamba tulifanya kazi na kuongea nao, lakini tuliwapa ilani ambayo wao waliamua kutuunga mkono na ndiyo maana tumeshinda.”
Licha ya Serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo kufanya vibaya kwenye uchaguzi huo, anaamini ushindi wa Labour umetokana na sera na ilani aliyosema ilileta matumaini kwa wananchi waliokata tamaa. Alisema alikwenda Uingereza wakati baba yake akisoma huko na yeye kusomea huko. Kwa sasa baba yake amesharudi Tanzania.
Chanzo:Gazeti la mwananchi
Hata mimi sijui; ninashangilia tu.Samia kafanyaje?