ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Fisiemu wanatamani wamrudishe wampe cheo!
manake wana tabia ya kupenda vitu vinavyong'aa

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna yule mchezaji kwenye kombe la dunia, mwenye asili ya Tanga, bungeni aliongelewa sana...Umewaza kama mimi, huku viongozi husubiri mtu aliyefanikiwa kisha wachukulie pointi za mezani hapo. Nakumbuka kuna yule Mzanzibari aliyeshinda tuzo ya Nobel ya uandishi watu walivyohangaika kuona watadandia vipi ile nyota.
Nachokoza mada..
Hivi kuna waeusi wangapi ni mawaziri au wabunge au hata madiwani pale saudia au iran?
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule mchezaji kwenye kombe la dunia, mwenye asili ya Tanga, bungeni aliongelewa sana...
..Ni Mtanzania.
..Hata kwenye hotuba yake ya ushindi amemshukuru Mama.
..Pia amekitaja Chama cha Mapinduzi, kuwa ndicho kilichomlea.
Ninaifahamu hii familia, baba yao alikua Mchungaji wa Jehovah Witness na kanisa likimpeleka Uingereza miaka mingi. Mama wa hawa watoto ni Mganda na kwao Kiingereza ndiyo lugha rasmi.Wabongo kama wachina tu, wanapenda sana kusifiwa...huyo ni Muingereza period!
Yaleyale ya Obama watu kusema ana asili ya bongo kisa sijui bibi yake wa kifikia alitokea Rorya sijui wapi huko kwa Wajaluo wa TZ
Ok. My worry is we don't recognise dual citizenship. And those with it, fall victims
Ni sababu ya Royal Tour; amshukuru rais samia kwa kutengeneza video hiyo.=========
Dar es Salaam. Raia wa Uingereza mwenye asili ya Tanzania, Linda Lusingu ameshinda udiwani kata ya East Barnet, iliyoko mji mkuu wa London kwa kuwashinda wagombea wenzake 10 katika uchaguzi uliofanyika Mei 5, mwaka huu.
Lusingu ambaye ni mtaalamu wa sheria za familia na watoto, ameshinda uchaguzi huo kupitia chama cha Labour na ushindi wake amechangia chama hicho kuwa na madiwani wengi katika Halmashauri ya Barnet iliyokuwa ikiongozwa na chama cha Conservative kwa miaka mingi.
Akizungumza na kituo cha televisheni cha Azam na baadaye Mwananchi, Lisungu ambaye ni mwenyeji wa Same, Kilimanjaro, alisema amekuwa mwanachama wa Labour kwa miaka 13 na kwake imekuwa safari ndefu hadi kushinda nafasi hiyo.
“Haikuwa rahisi kufikia hapa, hasa ukichukulia kuwa natoka kwenye jamii za watu weusi wachache ambao hawana uwakilishi, sikuzaliwa huku na siyo mtu mweupe, kwa hiyo kuna ubaguzi mwingi.
“Nilikwenda Uingereza nikiwa na umri wa miaka 15 na nimeishi huku kwa miaka 23. Niliingia kwenye mambo ya siasa karibu miaka 13 iliyopita baada ya kumaliza masomo ya chuo na nikapata nafasi ya kufanya kazi kwa mbunge sehemu niliyokuwa nakaa na huo ndio ukawa mwanzo wa safari hii,” alisema Lusingu.
Alisema kwa kipindi hicho alifanya naye kazi na kuona anavyofanya na kusaidia watu kwenye jamii, kama yeye alivyofika huko akiwa na mambo mengi yaliyohitaji msaada wake ikiwemo viza, nyumba na mambo mengine ambayo kama wageni wangehitaji.
Aliponipa hiyo nafasi nikaona ni nafasi nzuri na nikaendelea kuwa kwenye chama na ilipokuja hiyo nafasi nikaamua kuwania,” alisema.
Alieleza kuwa kama wanachama wa Labour walifanya kazi sana kwa kuongea na wakazi wa eneo hilo kuhusu shida zao, hasa ugumu wa maisha, gharama za kuishi na kutofurahia mambo yaliyofanywa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Borris Johnson kama marufuku ya kufungia watu (lockdown) wakati wa Uviko-19.
“Watu walipoteza ndugu zao kipindi hicho ingawa yeye alikuwa akifanya sherehe, na sheria alizoziweka alikuwa hazifuati, hicho kiliumiza watu wengi na hiyo ilitusaidia kidogo kushinda.
Lakini la muhimu ni kwamba tulifanya kazi na kuongea nao, lakini tuliwapa ilani ambayo wao waliamua kutuunga mkono na ndiyo maana tumeshinda.”
Licha ya Serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo kufanya vibaya kwenye uchaguzi huo, anaamini ushindi wa Labour umetokana na sera na ilani aliyosema ilileta matumaini kwa wananchi waliokata tamaa. Alisema alikwenda Uingereza wakati baba yake akisoma huko na yeye kusomea huko. Kwa sasa baba yake amesharudi Tanzania.
Chanzo: Gazeti la mwananchi
Kyagata iko ama Bunda au Musoma, je na wewe ni Sukuma gang?Mnasifia huyo mtu wenu mpaka inakua kero sasa.
😀😀😀😀😀Ni sababu ya Royal Tour; amshukuru rais samia kwa kutengeneza video hiyo.
Kwahiyo Samia alikua raisi miaka 13 nyuma??Uraisi wa Samia umewa-inspire wanawake wengi kuingia katika Siasa, bravo SSH
kumbe hata waingereza hawakuipenda lockdown! sisi watz tulipenda lockdown?=========
Dar es Salaam. Raia wa Uingereza mwenye asili ya Tanzania, Linda Lusingu ameshinda udiwani kata ya East Barnet, iliyoko mji mkuu wa London kwa kuwashinda wagombea wenzake 10 katika uchaguzi uliofanyika Mei 5, mwaka huu.
Lusingu ambaye ni mtaalamu wa sheria za familia na watoto, ameshinda uchaguzi huo kupitia chama cha Labour na ushindi wake amechangia chama hicho kuwa na madiwani wengi katika Halmashauri ya Barnet iliyokuwa ikiongozwa na chama cha Conservative kwa miaka mingi.
Akizungumza na kituo cha televisheni cha Azam na baadaye Mwananchi, Lisungu ambaye ni mwenyeji wa Same, Kilimanjaro, alisema amekuwa mwanachama wa Labour kwa miaka 13 na kwake imekuwa safari ndefu hadi kushinda nafasi hiyo.
“Haikuwa rahisi kufikia hapa, hasa ukichukulia kuwa natoka kwenye jamii za watu weusi wachache ambao hawana uwakilishi, sikuzaliwa huku na siyo mtu mweupe, kwa hiyo kuna ubaguzi mwingi.
“Nilikwenda Uingereza nikiwa na umri wa miaka 15 na nimeishi huku kwa miaka 23. Niliingia kwenye mambo ya siasa karibu miaka 13 iliyopita baada ya kumaliza masomo ya chuo na nikapata nafasi ya kufanya kazi kwa mbunge sehemu niliyokuwa nakaa na huo ndio ukawa mwanzo wa safari hii,” alisema Lusingu.
Alisema kwa kipindi hicho alifanya naye kazi na kuona anavyofanya na kusaidia watu kwenye jamii, kama yeye alivyofika huko akiwa na mambo mengi yaliyohitaji msaada wake ikiwemo viza, nyumba na mambo mengine ambayo kama wageni wangehitaji.
Aliponipa hiyo nafasi nikaona ni nafasi nzuri na nikaendelea kuwa kwenye chama na ilipokuja hiyo nafasi nikaamua kuwania,” alisema.
Alieleza kuwa kama wanachama wa Labour walifanya kazi sana kwa kuongea na wakazi wa eneo hilo kuhusu shida zao, hasa ugumu wa maisha, gharama za kuishi na kutofurahia mambo yaliyofanywa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Borris Johnson kama marufuku ya kufungia watu (lockdown) wakati wa Uviko-19.
“Watu walipoteza ndugu zao kipindi hicho ingawa yeye alikuwa akifanya sherehe, na sheria alizoziweka alikuwa hazifuati, hicho kiliumiza watu wengi na hiyo ilitusaidia kidogo kushinda.
Lakini la muhimu ni kwamba tulifanya kazi na kuongea nao, lakini tuliwapa ilani ambayo wao waliamua kutuunga mkono na ndiyo maana tumeshinda.”
Licha ya Serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo kufanya vibaya kwenye uchaguzi huo, anaamini ushindi wa Labour umetokana na sera na ilani aliyosema ilileta matumaini kwa wananchi waliokata tamaa. Alisema alikwenda Uingereza wakati baba yake akisoma huko na yeye kusomea huko. Kwa sasa baba yake amesharudi Tanzania.
Chanzo: Gazeti la mwananchi
Well saidKwahiyo Samia alikua raisi miaka 13 nyuma??
Huyo kawainspired na huyo mbunge, wewe unamleta samia hapa.
Sisi waafrika ni wabaguzi sana kuliko ubaguzi wenyewe,halafu tunakimbilia kulia wazungu ni wabaguziTUME ya UCHAGUZI ya kule inaonyesha ina Watu weledi sana ingekuwa hapa Mwingereza ndio kagombea asingepata kura hata ya mkewe