Linda Lusingu: Muingereza mwenye asili ya Tanzania ashinda udiwani London

Linda Lusingu: Muingereza mwenye asili ya Tanzania ashinda udiwani London

A
Huku kwetu Ukiwa serous na kuwa mzalendo unatafutia kabila lengine. Utaambiwa unatoka msumbiji ,Burundi au Rwanda!!ndiyo hatuna maendeleo
Kabisa yani.

Mtu kakulia na kulelewa uingereza kisha kapata kashavu unaanza kulazimisha awe na asili ya tz,asili gani wakati tokea hapo yupo kiulaya ulaya tu
 
Waruhusu uraia pacha waone

Wenye asili ya tanzania wakatavyo fumuka

Ova
 
Wenzetu wana mifumo imara wakishajiridhisha na wewe nafas kama hizo unapewa tu
Huku ndio kuna balaa maana dk moja tu unachaguliwa uraia wa nchi nyingine
Ila kwa hilo tuna tatizo kubwa sana, yaani kama kuna genge fulani (Wolves gang) wameamua kujimilikisha hii nchi na mali zake zote
 
Back
Top Bottom