Linda Lusingu: Muingereza mwenye asili ya Tanzania ashinda udiwani London

Huyu sio mtanzania kisheria ni lazima alikwisha ukana uraia wa Tanzania.
Amebaki kuwa Muingereza mwenye asili ya Tanzania.
 
Wadanganye wengine. Aliyeshinda "kata" hiyo ni somebody nikola richer kama sijakosea. Unapotosha kwa maslahi gani?
 
Wadanganye wengine. Aliyeshinda "kata" hiyo ni somebody nikola richer kama sijakosea. Unapotosha kwa maslahi gani?
Tunaupiga mwingi bana mbona unaturudisha nyuma unalitakia nini hili Taifa?
 
Wadanganye wengine. Aliyeshinda "kata" hiyo ni somebody nikola richer kama sijakosea. Unapotosha kwa maslahi gani?
Umesoma chanzo cha taarifa yangu?
 
Huyu sio mtanzania kisheria ni lazima alikwisha ukana uraia wa Tanzania.
Amebaki kuwa Muingereza mwenye asili ya Tanzania.

..Ni Mtz.

..amemshukuru Mama ktk hotuba yake ya ushindi.

..pia amekitaja chama cha mapinduzi kuwa ndicho kilichomzaa na kumlea.
 
Kuna Mtanzania mwingine anaitwa Mariana amegombea kupitia chama cha SP jiji la Edinburgh-Scotland.
 
Wabongo kama wachina tu, wanapenda sana kusifiwa...huyo ni Muingereza period!

Yaleyale ya Obama watu kusema ana asili ya bongo kisa sijui bibi yake wa kifikia alitokea Rorya sijui wapi huko kwa Wajaluo wa TZ
 
Ameshindaje sasa hapo?

View attachment 2225358
Habari bila picha hainogi.

Ashukuru sera ya Marehemu JPM ya kukataa Lockdown imemsaidia kukubalika huko UK. JPM alisema tupambane na covid tukimtegemea na kumuweka Mungu Kwanza. Wako watu walimdhihaki. Lakini covid sasa ni kama haisikiki.

Konchesky Rais comedian wa Ukraine anapigana vita na Russia. Raia wakihimizana kumtegemea Mungu kwa nyimbo za kwaya, mapambio na maombi . Vita Punit aliyosema itachukuwa siku 3 leo ni siku 84 ngoma bado mbichi. Dunia bado hajajifunza chochote kuhusu wawili hawa?
 
Hongera zake. Akumbuke kuwa hiyo yote ni kwa sababu ya juhudi za Rais Samia. Asisahau kumshukuru rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…