Lindi hadi Mbeya kwa barabara kuna umbali gani?

Lindi hadi Mbeya kwa barabara kuna umbali gani?

Hiyo safari siyo ya kitoto,jifunge kibwebwe hiyo ni almost the same Dar es salaam -Mwanza kwa umbali
 
Lindi Mbeya via Songea ni 1063km
Mchanganuo.
Lindi mnazimoja 21km
Mnazimoja masasi 120km
Masasi tunduru 200km
Tunduru Songea 263km
Songea njombe 232 km
Njombe makambako 63km
Makambako mbeya 166km.



Lindi Nangurukuru 150km
Nangurukuru dar 300km
 
Back
Top Bottom