DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Nov 3, 2024 #61 Charles Gerald said: Sawa. Nitafuatilia ni mara yangu ya kwanza kwa safari hii. Click to expand... Ukitoka mwanza alfajiri utaingia mbeya alfajiri
Charles Gerald said: Sawa. Nitafuatilia ni mara yangu ya kwanza kwa safari hii. Click to expand... Ukitoka mwanza alfajiri utaingia mbeya alfajiri
M Mc green JF-Expert Member Joined Jun 1, 2021 Posts 235 Reaction score 314 Nov 3, 2024 #62 Hiyo safari siyo ya kitoto,jifunge kibwebwe hiyo ni almost the same Dar es salaam -Mwanza kwa umbali
K Kataa Rushwa JF-Expert Member Joined May 15, 2015 Posts 728 Reaction score 765 Nov 4, 2024 #63 Lindi Mbeya via Songea ni 1063km Mchanganuo. Lindi mnazimoja 21km Mnazimoja masasi 120km Masasi tunduru 200km Tunduru Songea 263km Songea njombe 232 km Njombe makambako 63km Makambako mbeya 166km. Lindi Nangurukuru 150km Nangurukuru dar 300km
Lindi Mbeya via Songea ni 1063km Mchanganuo. Lindi mnazimoja 21km Mnazimoja masasi 120km Masasi tunduru 200km Tunduru Songea 263km Songea njombe 232 km Njombe makambako 63km Makambako mbeya 166km. Lindi Nangurukuru 150km Nangurukuru dar 300km
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Nov 4, 2024 #64 Charles Gerald said: Sawa. Nitafuatilia ni mara yangu ya kwanza kwa safari hii. Click to expand... Huko si Mwanza, chukua koti na sweta nzito.
Charles Gerald said: Sawa. Nitafuatilia ni mara yangu ya kwanza kwa safari hii. Click to expand... Huko si Mwanza, chukua koti na sweta nzito.
Charles Gerald JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 1,403 Reaction score 1,837 Nov 4, 2024 #65 Hismastersvoice said: Huko si Mwanza, chukua koti na sweta nzito. Click to expand... Nitazingatia mkuu.
Hismastersvoice said: Huko si Mwanza, chukua koti na sweta nzito. Click to expand... Nitazingatia mkuu.