Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Uko sahihi me nafanya kazi Lindi ila ikifika ijumaa nakwenda masasi town narudi kazini jumatatu asubuhi masasi napapenda kibiashara na mishe mishe almost pako kana bugurun fulani hv
huku hata huo uchawi wa namna hiyo hamna,,,,!!!!Uko wana malizana kwa kutogana, ndiyo maana uko kufanya jambo la maendeleo ni ngumu, Sehemu wanayoishi Waislamu wengi hakuna maendeleo ya watu kupiga atua. Yani ukifungua Biashara ata ya Duka, Chips wana ziwangia na watabia ya kuroga usipige atua.
Wanadai PM KAUPUNCH UENDE RUANGWA TAARIFA ZISIZO RASMI LAKINI.. huenda likajengwa Lindi tulieniHivi mradi wa campus ya UDSM pale Ngongo umeanza?
Poa poa mkuuWanadai PM KAUPUNCH UENDE RUANGWA TAARIFA ZISIZO RASMI LAKINI.. huenda likajengwa Lindi tulieni
Ni kweli Lindi hapajachangamka, ni tofauti kidogo na Mtwara au Masasi. Tatizo mji wa Lindi umwinyi umejaa ni bora uende wilayani kama Nachingwea, Ruangwa na Liwale kuna vibe la kutoshaTayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?
Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?
Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.
Nipo Lindi mjini
Mkuu nimekuja Lindi na Nina enjoy zaidi LINDI kwa sababu nakutana na watoto wenyeji wa Lindi wamwera pure from age 18 to 22 . Huko Masasi wengi ni wakuja unaenda unakutana na malaya wametoka Kinondoni wameenda Masasi kudanga.Hivi mradi wa campus ya UDSM pale Ngongo umeanza?
Huko ambapo hapajachangamka ndo wengine tunapataka kwa sababu tunakutana na watoto wa kienyeji pure.Ni kweli Lindi hapajachangamka, ni tofauti kidogo na Mtwara au Masasi. Tatizo mji wa Lindi umwinyi umejaa ni bora uende wilayani kama Nachingwea, Ruangwa na Liwale kuna vibe la kutosha
Sawa mkuu, ukipata muda tembelea wilayani kama ruangwa, nachingwea au liwale huko utapata totoz za kienyei pure kabisaHuko ambapo hapajachangamka ndo wengine tunapataka kwa sababu tunakutana na watoto wa kienyeji pure.
Lindi mjini pamepoa lakini kama unataka kuenjoy nenda Ruangwa hotel huko wilayani, kazurule kilwa kivinje na masoko visiwani.Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?
Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?
Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.
Nipo Lindi mjini
Mara ya kwanza kufika Lindi miaka ya mwanzoni mwa 2000 baada ya kushuka stend na kuulizia tax niliambiwa nisubiri maana mjini mzima kulikuwa na Tax moja tuu, Land Rover 109 short chassis daaahLindi padogo sana lazima ujichetue akili Kwa pombe ili pasiboe
Mtafute Binti Lindi wa Clouds..!Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?
Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?
Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.
Nipo Lindi mjini
Mkoa upi?Pamepoaa sanaa yni mademu wakutongoza ni mabaamedi tu afu kila mtu anataka hao hao, hta wale watoto wa kudanga holaa amna kitu huu mkoa
Nondo sana hii Kaka Mkubwa.Halafu kaa ukijua kuwa jamii yoyote ile inayowekeza fikra za kimaendeleo kwenye ukabila na Udini huwa haina dalili za maendeleo na itatake so long kuendelea, kwa sababu watu wa jamii husika hawawazi kukabiliana na changamoto zinazowakabili kwa upana bila kuhusisha manufaa binafsi ya dini zao au makabila yao, na hili ndio tatizo kubwa linaloikabili nchi yetu kiuhalisia.
I appreciate you mzee!Nondo sana hii Kaka Mkubwa.
Nenda Kilwa Masoko hapo Lindi Mjini hakuna ishu
Tayari umeanzaHivi mradi wa campus ya UDSM pale Ngongo umeanza?
Mabaamedi wenyewe wanamiilikiwa, Lindi kuna ushamba sana mtu akitongoza bar maid atataka ammiliki kabisa na wengine wanaishi nao kama wake zao.Pamepoaa sanaa yni mademu wakutongoza ni mabaamedi tu afu kila mtu anataka hao hao, hta wale watoto wa kudanga holaa amna kitu huu mkoa