Lindi mbona pamepoa sana jamani?

Lindi mbona pamepoa sana jamani?

Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?

Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?

Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.

Nipo Lindi mjini
Hupajui Lindi subiri jioni ya Leo na usiku wa leo kwanzia saa2 utajua hujui panaitwa shimoni hapo starehe zimetengewa eneo lake
 
Back
Top Bottom