Lindi: Mtoto wa darasa la 6 akamatwa kwa tuhuma za kumnajisi Mtoto wa darasa la 3

Biden hana mjukuu mweusi
Huyu mtoto ameanza ushenzi mapema sana. Miaka 13!!! Akifikisha miaka 18 inabidi atafutiwe viza ya kwenda kuishi kwa babu yake Joe Biden.
 
Huyu mtoto amezingua sana miaka 13 analeta fujo zote hizo
 
Fanya chochote mkuu huyo mwalimu mkuu aondolewe kwenye hiyo shule na apelekwe gerezani.Ataendelea kuwaharibu na kuwaumiza watoto wengine wengi mpaka lini!
 
Makavu laivu hayana maana yoyote kama ataendelea kuwa mwalimu au kubaki uraiani
Pole mkuu...! Ila mashuleni kwa sasa haya mambo yapo sana, kuna shule ipo sehemu ambayo ndo wanafanyia mambo hayo hao watoto wanapaita mzizi wa laana..! Huyo mwalimu ningemfata na kumpa makavu live ili ajue nimejua
 
Mkuu fanya jambo lolote kuwasaidia watoto wengine ambao bado hawajaingia katika mikono yake. Usichukulie poa tu
 
Jina Foka halinashida tatizo ni hapo kwenye Dinya 🤣🤣
 
Kuwaambia dawati la jinsi na watoto la polisi wa eneo husika.
Kuiambia kamati/bodi ya shule kuhusu huyo mwalimu.
Kuwaambia hao mapacha wawambie police wa eneo husika.
Kuwaambia viongozi au wanasiasa wa eneo husika.
So kama ni wewe unafikiri unaweza fanyaje?
 
Kuwaambia dawati la jinsi na watoto la polisi wa eneo husika.
Kuiambia kamati/bodi ya shule kuhusu huyo mwalimu.
Kuwaambia hao mapacha wawambie police wa eneo husika.
Kuwaambia viongozi au wanasiasa wa eneo husika.
Good advise ngoja nione naxifanyiaje kazi
 
Wakati vizuri na uyo dogo wa miaka 13 lazima na yeye kuna mtu mzima anayemfanyia huo mchezo na yeye anaenda kufanyia wenzie
Umewaza kama nilivyowaza, au kukosa maadili kwa wazazi wake kumempelekea awaone wanachofanya ndipo na yeye anakwenda kuwafanyia wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…