LGE2024 Lindi: Viongozi wa Dini na Kimila wasema uchaguzi umefanyika kwa Uhuru na Haki, Uchaguzi ujao amani itawale kama sasa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kumbe Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni wa huru na wa haki? Mbona hamkusema?

HIivi kweli unajitokezaje kusema kuwa Uchaguzi ni huru na wa haki baada ya kuona mabomu ya machozi, kuenguliwa kwa wapinzani, polisi kukamata wapinzani kwenye kampeni na wizi wa kura ambao ushahid wake huko humu humu jukwaani.

Hivi karibuni nimeona viongozi wa kidini, kimila huko Nachingwea wakisifia kuwa Uchafuzi, sorry Uchaguzi kwamba ulikuwa ni huru na wa haki.

Nimewaza sana kwamba hawa "viongozi" hawaoni yanayoendelea au ndo kulamba asali?

Nchi ina safari ndefu sana!

View attachment 3165734
Machawa kazini!
 
Ngoja Ustadh The Big Show aje atupe maoni yake kwamba hii nayo ni kuchanganya dini na siasa au ni hadi iwe upande wa ma Askofu peke yake!.
 
Tofautisha Viongozi wa dini na machawa wa CCM .
 
Back
Top Bottom