Kumbe Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni wa huru na wa haki? Mbona hamkusema?
HIivi kweli unajitokezaje kusema kuwa Uchaguzi ni huru na wa haki baada ya kuona mabomu ya machozi, kuenguliwa kwa wapinzani, polisi kukamata wapinzani kwenye kampeni na wizi wa kura ambao ushahid wake huko humu humu jukwaani.
Hivi karibuni nimeona viongozi wa kidini, kimila huko Nachingwea wakisifia kuwa Uchafuzi, sorry Uchaguzi kwamba ulikuwa ni huru na wa haki.
Nimewaza sana kwamba hawa "viongozi" hawaoni yanayoendelea au ndo kulamba asali?