LGE2024 Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apiga kura kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa

LGE2024 Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apiga kura kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Nandagala, Ruangwa, Lindi.

Akizungumza baada ya kupiga kura ambapo aliongozana na Mkewe Marry Majaliwa, Waziri Mkuu amewapongeza wakazi wa eneo hilo kujitokeza kwa wingi kuchagua viongozi katika uchaguzi huo unaofanyika nchi nzima.

"Wananchi wamejitokeza kwa wingi, tayari mimi na familia yangu tumepata nafasi ya kumchagua kiongozi ambaye tunaamini atatuletea maendeleo kwenye kijiji chetu". Ameeeleza
 
Back
Top Bottom