huyo utumbo si member wa jf ebu afunguliwe thread ajitete au aisafishe jf ujue tunadharaulika ma greatthinker kwa sababu ya mpuuzi mmoja
Mkuu wewe unamwamini nani? au unamwamini Freeman A. Mbowe aliyeutangazia umma kwamba amerudisha shangingi la KUB lakini baadae akaenda kulichukua kimya kimya??
Huwaamini wasanii halafu unamwamini Sugu!!! kwani Sugu sio msanii
mkuu unajifunza kubeti au?
huyo utumbo si member wa jf ebu afunguliwe thread ajitete au aisafishe jf ujue tunadharaulika ma greatthinker kwa sababu ya mpuuzi mmoja
Bab...kama umeshika mkuki usimchokoze mwenye AK 47 ,,u know wat I mean right !?
Mwana hilo biti wapige maboya siyo mimi
Sasa nyie akina snipa na Muuza Sura mbna mnfikiria kitoto sana.!
Sasa we unadhan hilo jina la matumbo ni la ukweli au hyo avatar n ya ukweli.?
Mnashabikia ujinga utadhan watoto wadogo bhana..
Labda matumbo ni best wa linex.?au labda n msanii mwenzake.?
Kwa kawaida m siwaaminigi wasanii wa bongo fleva,REf:diamnd alivotudanganya amenunua v8 after 2weeks chief kiumbe akalichukua gar lake.!
Au lulu alisema hana mpenzi kwenye kipnd cha mkasi na kanumba akasema hanywi pombe kwenye kipnd hcohcho hazijaisha wiki2 likatokea tukio tukajua Lulu alikua mpenz wa kanumba,na kanumba alikufa na pombe kichwan..
Msimtetee zitto kwa kumponda matumbo
Msipoteze muda kujadili kilichosemwa na member wa JF, coz ni wachache sana...kama sikosei ni asilimia zisizozidi tano ndio wanatumia majina halisi.....na sababu wote tunajua ni ili kupata uhuru wa kubwatuka ya rohoni bila wasiwasi wa kuviziwa njiani.
Hivyo huyo matumbo kama mwana JF yeyote, anaweza akatumia mwanya huo kuandika uongo ili tu kutetea anachoamini...na vile vile wapo kwa kutumia mwanya huo huo wanaeleza ukweli na hata wakati mwingine wanatuwekea na vielelezo vya ushahidi.
Naamini sio Zito wala Linex anawez kuingia kirahisi kwenye mtego kama huu wa kuchonganishwa....na ningemuelewa zaidi Linex kama angepotezea hilo andiko kuliko kupanic...unlesss kama haielewi JF.
Hata wanaodhalilishana huku wengine ni ndugu wa damu, mke na mume, kaka na dada, mtoto na mzazi wake....na usahihi wa taarifa yoyote utategemea akili za anayesoma....JF ni akili za kuambiwa changanya na zako.
Sidhan kama wanaweza kumdhuru labda wahusika wa humu waingilie kati
Mwana hilo biti wapige maboya siyo mimi
Sidhan kama wanaweza kumdhuru labda wahusika wa humu waingilie kati