Team ras nungwi 'mama' watakwambia anashauliwa vibaya...kama vile hana akili za kupembuaWakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.
Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic
View attachment 1905090
View attachment 1905091
Hapo umeona makada wa chama tawala? Kuweka usawa Kiongozi wa Upinzani nae yumo kwenye msafaraHapo Naona and Senior Government Officials
Sasa hao ni wangapi wanaweza wakawa wawili, au wanaweza wakawa 200....
Shukrani sina akili, wewe una akili sana hadi unajibu vitu ambavyo ni nje ya topic. Jitahidi kuficha ujinga wako na usipende kuanzisha ligi usizowezaUmeona usivyokuwa na akili?
Yeye ni mwenyekiti wa chama na Rais, ni vibaya akiambatana na viongozi wa Chama chake? Unahisi kila kitu ni gharama za serikali?
Wacha wajitoe ufahamu tuHapo umeona makada wa chama tawala? Kuweka usawa Kiongozi wa Upinzani nae yumo kwenye msafara
Hapo Naona and Senior Government Officials
Sasa hao ni wangapi wanaweza wakawa wawili, au wanaweza wakawa 200....
Sizungumzii wingi nazungumzia positions zao
CCM, CCM , CCM kwani hiyo ni shughuli ya kichama au ??
Tanzania inawakilishwa na CCM, haiwakilishiw na serikali. Mama samia anatokea kuwa ni Rais pia lakini most likely anakwenda kama mwenyekiti wa CCM.Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.
Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic
View attachment 1905090
View attachment 1905091
Hahahaa asipokuelewa na wewe pia basi ni mjingaYeah lakini hawajasema Senior Party officials. Sisi tumejaza wanaccm kana kwamba rais anaenda kuwakilisha chama badala ya serikali
Sina shida na yeye, soma uelewe hoja ilipo! Hizi fursa unatakiwa uzitumie kujenga network kwa maslahi ya nchi na sio chama! Hebu nambie Shaka ana msaada gani kwenye serikali (kiutendaji) au unaweza kumlinganisha Shaka na Waziri was Mambo ya Nje?Tanzania inawakilishwa na CCM, haiwakilishiw na serikali. Mama samia anatokea kuwa ni Rais pia lakini most likely anakwenda kama mwenyekiti wa CCM.
Well to me Money Spent is Money Spent I had rather aende peke yake..., kwahio number ya wanaokwenda matters hususan kipindi hiki kuna excuse ya Covid wangeweza kwenda watu wasiozidi hata watano..., kwahio ningefurahi kama tusingejaza watu kabisa...Yeah lakini hawajasema Senior Party officials. Sisi tumejaza wanaccm kana kwamba rais anaenda kuwakilisha chama badala ya serikali
Acha tu ila kuna mambo yanatia hasira sana nchi hii. Huyu maza yaani simuelewi kabisa, katiba mpya ni muhimu sana ubinafsi wa viongozi wetu unatucost sana.Nimecheka kama mazuri vile. Kwa kweli CCM zimetamaluki! Imagine hatuna uwezo wa kuwatoa hawa jamaa kwa kura. Na Zirro amemua kufa nao!
Bibi amebeba ccm tupuSizungumzii wingi nazungumzia positions zao