Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

Wengi wao wana shauku ya kupanda ndege mpya.

Watapenda kuionja ndege maana hayati Magufuli alikuwa hapendi ujinga huo wa matumizi mabaya ya fedha za serikali.

Sasa mafuta ya hizo ndege nani alipia?

Raisi si angemtuma makamu au waziri mkuu na ujumbe wa watu wachache, kuonyesha bado tunajali?

Maana nae JK yupo Comoro na hizi zingine nazo zazunguruka nchi nzima, huku watu wakiwa kama wamewehuka hivi.

Hatufahamu yake matumizi ya hizi ndege bila kujulikana "unofficially", maana yawezekana watu wanakula maili za kutosha ili wamkomoe yule alielala.

It's unconceivable!!
 
Ina tia aibu naona neno CCM tu apo
Shame!! ndio maana tunahitaji Katiba Bora kupunguza ujinga Kama huu.
Japo huenda Mama anadhamira njema hao Wana CCM wakajionee na kujifunza siasa za vyama vingi Mageuzi ya Amani, na sio hujuma na hiana.
 
Kwani viongozi wa ccm siyo government officials? Kwani ccm si ndiyo inaongoza government of Tanzania kwa sasa? Kama unadhani kuwa government officials maana yake ni civil servants, utakuwa unakosea sana.
Duh kumbe?
 
Zama za Kikwete zimerudi

Magu alichemka sana kumkubali huyu Mama aliyepewa na vikao vya CCM ya Kilwete
 
Mtoa mada unaelewa nini ukiambiwa GOVERNMENT OFFICIALS??????
unadhani ni mtu mmoja hapo?
Kasema hazungumzii idadi ila nafasi zao kwenye nchi, tz imepeleka ccm officials wakati wenzetu wamepeleka gvt officials
 
maKUNDUchi Jumong kaenda na Luside. hii nchi bila kuiondoa CCM madarakani tutapigwa laana vizazi na vizazi.
 

Wa Tanzania sijui tumemkosea nini Mungu? Atusamee tu!
 
Lusinde,Pinda,na Katibu wa uvccm!
Kweli!!Huyu mama wa Ikulu kila anachokifanya sioni umakini wake?
Sasa makada wa ccm wanaenda kuchangia nini!kama angeamabatana na wafanyabiashara ningeelewa,huyu mama ni kituko kwa sasa hv.
 
Natamka rasmi mbele ya waandishi wa habari wenzangu, viongozi wetu ni wehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…