Linganisha rekodi hizi za Simba na Yanga

Robo fainali ya kugombania MWIKO NYUMA YENU labda....
Yanga kafika robo fainali Mara 2,69&70,akatolewa kwa kurusha shilingi,1998 alicheza makundi,palikua na makundi mawili,zilipita timu 2 kila kundi zikaenda nusu,hatua hiyo ni sawa na robo fainali tu
 
Umetupigaaaa hapaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] simba ndo timu ya kwanza kucheza nusu fainali CAF CL
Yanga kacheza robo Mara mbili na makundi(ambayo sawa na robo,yalikua mawili) 1998
 
Yanga kafika robo fainali Mara 2,69&70,akatolewa kwa kurusha shilingi,1998 alicheza makundi,palikua na makundi mawili,zilipita timu 2 kila kundi zikaenda nusu,hatua hiyo ni sawa na robo fainali tu
Kumbe ni sawa....? ???? TIMU PEKEE AFRIKA MASHARIKI NA KATI KUFIKA ROBO FAINALI NI SIMBA...
 
Lile kombe la bonanza tulikiwa hatuna time nalo, ndio maana hata profesa Nabi pamoja na dokta Aucho haukuwaona, ila kimoja huwa kinauma sana mtani
kweli kabisa mtani maana nakumbuka thadeo lwanga aliusokomeza mwiko mmoja kule kigoma wale madokta wa rivers united wakauzamisha wote nje ndani

4F697790-3276-4E0E-95D2-37ED50064427.jpeg
 
Umetupigaaaa hapaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] simba ndo timu ya kwanza kucheza nusu fainali CAF CL
ni KWELI Yanga ilicheza robo fainali mwaka 1969 na simba ikaja kucheza robo mwaka 1974 ikavuka mpaka nusu sasa hapo niambie TIMU YA KWANZA KUCHEZA ROBO FAINALI NI IPI?
 
Nlijua upo kusema ukweli, kumbe kushabikia utopolo, Haya bila google f4 aliyepata matokea atajuaje yanga ni moja ya timu kubwa Afrika?,
 
Simba ndio timu ya kwanza kutinga nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974 na kutolewa na Ghazil Mehallah El Mehallah El Kubra ya Misri kwa penalties.
 
ni KWELI Yanga ilicheza robo fainali mwaka 1969 na simba ikaja kucheza robo mwaka 1974 ikavuka mpaka nusu sasa hapo niambie TIMU YA KWANZA KUCHEZA ROBO FAINALI NI IPI?
Timu ya kwanza kucheza robo fainali ni Yanga mwaka 1969, Simba ni hadi 1974 dhidi ya Accra Hearts of Oak ya Ghana ni vizuri tuache ushabiki maandazi.
 
Simba ndio timu ya kwanza kutinga nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974 na kutolewa na Ghazil Mehallah El Mehallah El Kubra ya Misri kwa penalties.
ni KWELI Yanga ilicheza robo fainali mwaka 1969 na simba ikaja kucheza robo mwaka 1974 ikavuka mpaka nusu sasa hapo niambie TIMU YA KWANZA KUCHEZA ROBO FAINALI NI IPI?ni KWELI Yanga ilicheza robo fainali mwaka 1969 na simba ikaja kucheza robo mwaka 1974 ikavuka mpaka nusu sasa hapo niambie TIMU YA KWANZA KUCHEZA ROBO FAINALI NI IPI?
 
hebu rudia kusoma ujumbe wako sio kupovuka huko 🚮🚮🚮🚮
 
1. YANGA ndiyo timu ya kwanza Tanzania kucheza mashindano rasmi ya CAF walicheza klabu bingwa mwaka 1968 wakati simba ndiyo timu ya kwanza kupanda ndege mwaka 1963 walienda Ethiopia kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo kucheza ndondo.

2. YANGA ndiyo timu ya kwanza kutinga robo fainali ya CAF champions league mwaka 1969 (dhidi ya Asante Kotoko) wakati Simba ndiyo timu ya kwanza kumiliki basi lake

3. YANGA ndiyo timu pekee afrika mashariki kuingia robo fainali mbili MFULULIZO yaani 1969 na 1970 namaanisha kwa miaka inayofuatana siyo unaingia fainali mwaka huu kisha mwaka ujao unakutana na UD SONGO au MAKIRIKIRI CHALI wakati huo SIMBA ndiyo timu ya kwanza kuvaa ndiyo timu ya kwanza kuvaa jezi hii ilikuwa 1938 ilipocheza na kombaini ya mabaharia wa meli zilizotia nanga kwenye bandari ya Dar es Salaam.

4. Yanga inaongoza kwa kumfunga Simba mara nyingi Yanga ndiyo iliyochukua ubingwa mara nyingi zaidi (27) kuliko timu yoyote Tanzania bara wakati Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa viatu hii ilikuwa1949 ilipocheza na kombaini ya jeshi la majini Navy ya Afrika Kusini.

5. Yanga ndiyo iliyochukua ubingwa mara nyingi zaidi (27) kuliko timu yoyote Tanzania bara wakati SIMBA inaongoza kwa kuchukua vikombe vya promotion kama HEDEX, MTANI JEMBE, TUSKER na kadhalika

5. Yanga ndiyo inaongoza kwa idadi ya magoli yaliyofungwa kwenye mechi za Simba na Yanga wakati Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa suti hiyo ilikuwa ni mwaka 1974 ilipokwenda Poland

6. Takwimu za Yanga ni kwa mujibu wa shirika la The Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. website yao ni The Introduction Page of the RSSSF -- The Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation.

Wakati takwimu za SIMBA ni kwa mujibu wa jamaa mmoja wa Morgoro aitwae na Dhulkad Madara
Wasifu wa marrehemu
 
Unafanana kwa sura na jina na mwandishi mahiri, mkongwe aliyetisha kwa liwaya enzi zake, miaka ya 80.
Agoro Anduru.
Lakini yeye alikuwa haanddiki habari zake kishabiki namna hii[emoji23][emoji23]
Pumzika kwa Amani mzee Agoro Anduru.
Mhariri wa habari RTD zamani zile.

Kila jumapili nilikuwa napata nakala yangu ya gazeti la Mzalendo kusoma liwaya zake.
 
I am his son
 
Linganisha pia misimamo ya yanga na Simba kwenye michuano ya caf hatua ya makundi! Kuna timu moja imespesholaizi kushika mkia!! Kuna nyingine kwa Sasa ni kichwa tu!!
 
Back
Top Bottom