Linganisha rekodi hizi za Simba na Yanga

Yanga ni Manyani na Mbwa. Luc Eymael. Hii kauli ilisemwa na kocha wa Yanga
 
Yanga ndiyo team ambayo huchukua mabaki ya Simba na kuyafanya Chakula kikuu. Manara akiwa Simba aliwahi sema kuwa Mshabiki wa Yanga ni lazima uwe huna akili. Akasema walio na akili ni Kikwete tu na Baba yake. Wengine ni kama matahira. Haukupita akafukuzwa Simba Yanga wakamwona lulu na sasa anawaendesha. Hii ni record
 
Utopolo ndiyo team ya kwanza kufika nusu final club bingwa in 1974...utopwinyo ndiyo team ya kwanza kufika fainali ya Africa in 1993
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…