Lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada?

Mwingine jana kateka na kuua lakini yuko kanisani.

Mimi siwezi kuungana na wasiojulikana kwenye kanisa moja.
 
Asante sana nakujaga Moro mara kwa mara siku nikipata muda nitajumuika nawe
Mimi nimehudhuria mpaka ibada za wapagani na kujifunza imani zao, nimehudhuria mpaka ibada za shetani
Itoshe tu kusema Mungu yupo
 
Mwingine jana kateka na kuua lakini yuko kanisani.

Mimi siwezi kuungana na wasiojulikana kwenye kanisa moja.
Kutawaza ni kujitakasa na mapungufu yamchukizayo mungu uliyo yafanya kwa kujua au kutokujua ili mungu aweze kukutizama katika sara na dua zako kwa muda ule unapo kuwa ibadani kwenye nyumba ya ibada...
 
Ibada yoyote kwa marehemu ni haramu
 
Imani nyingi kwa sasa zipo kutisha tisha watu kama hivyo badala ya kutangaza na kufundisha neno la Mungu.
 
Walokole mungu wenu kiziwi na wengi wenu dishi zimeyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…