Njoo nikuombee nikutoe pepo hilo maana sio bure. Hapo nimeandika kibaya kipi mkuu? Lakini pamoja na yote hata kama umekereka, nakushuhudia asubuhi ya leo nikiwa na akili timamu kuwa Mungu wa walokole ni Mungu wa kweli na Mungu mkuu juu ya miungu yote.
Ubishe usibishe, ufurahi usifurahi ila ni kweli na haitabadilika kwa kukasirika kwako ya kuwa Yesu Kristo Mungu wa Wakristo wote wamuabuduo katika ukweli na uzir wa Moyo ni Mungu wa kweli na Mungu mkuu.