Lini mara ya mwisho kumtamkia mzazi/mlezi wako nakupenda?

Lini mara ya mwisho kumtamkia mzazi/mlezi wako nakupenda?

Yeah sijawahi kuzoeshwa hivo, kwahiyo siwezi tu kuibuka uzeeni nianze kumwambia nakupenda, ntazua taharuki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja na.mimi NIMKAUSHIE TU MSHUA.

ASIJE AKANIPA BANZI[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hapana kama ndio maisha yenu ni sawa, ila kama haujawahi dah kuna ugumu kidogo hata yeye mwenyewe lazima awaze, umesema yupo hospital anaweza waza "kijana anaona nna hali mbaya nini"
Namwambia ila ni MJEDA MSTAAFU.

hawa watu hawanaga hata BIMA

Hapa anatumia bima yangu na tumemuweka Private so wr have to top up
 
Inabidi utamke Hilo neno nakupenda ukiwa mlangoni kwa lolote ili uchomoke Kama Kipchoge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu hawezi hata kusimama namwambia tu kwani nini??
 
nadhani anajlijua hilo mama sio lazima nitamke maana mara nyingi neno nakupenda huwa wengine tulio kulia tarime kule tunalichukulia kama neno la wanaume wa darisalamu, sisi ni shoo shoo mama anafanyiwa vitendo sio manenio
 
Daaah...sijui nianzie wapi, ila kiufupi tu kuiga iga mila na desturi za nchi za magharibi kupitia hizi tamthilia za Wafilipino zinatuponza sana hiki kizazi cha karne ya 21.

Mshua wangu lazima akusindikize na kwenzi ukimtamkia hilo neno "nakupenda"
 
Tafuta namna mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani mkurya
Hahahhaa wala sio mkurya aisee ni mshkaji sana sikuhizi mzee wa karibu miaka 90 ila atanizingua tu. I hope anajua nampenda ila kumtamkia duh kwanza Sijui ntaanzia wapi😁😁😁😁
 
Hahahhaa wala sio mkurya aisee ni mshkaji sana sikuhizi mzee wa karibu miaka 90 ila atanizingua tu. I hope anajua nampenda ila kumtamkia duh kwanza Sijui ntaanzia wapi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
Kwa mama Mzazi naweza kwa ugumu. Dingi hapana aisee. Kwa maza Mkubwa aliyenilea yah naweza kusema maana itakua kwa Kiingereza ila dingi Mkubwa atanipeleka mirembe kabisa maana atahisi nimechanganyikiwa aisee
 
Back
Top Bottom