Lini mara ya mwisho kumtamkia mzazi/mlezi wako nakupenda?

Lini mara ya mwisho kumtamkia mzazi/mlezi wako nakupenda?

nadhani anajlijua hilo mama sio lazima nitamke maana mara nyingi neno nakupenda huwa wengine tulio kulia tarime kule tunalichukulia kama neno la wanaume wa darisalamu, sisi ni shoo shoo mama anafanyiwa vitendo sio manenio
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
Daaah...sijui nianzie wapi, ila kiufupi tu kuiga iga mila na desturi za nchi za magharibi kupitia hizi tamthilia za Wafilipino zinatuponza sana hiki kizazi cha karne ya 21.

Mshua wangu lazima akusindikize na kwenzi ukimtamkia hilo neno "nakupenda"
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hawa wazee bhana wamezoea mila.kandamizi
 
Utashangaa dingi anasema "kijana acha ufalah"
Kabisa yani anaweza kwenda hadi kusimulia kilabuni aisee

Anajua tu nampenda inatosha

Kwanza kutamka naweza nkaanza kujiuma kama namtamkia dem wangu wa Kwanza kutongoza. Nilitamka halafu nikatoka baruti😂😂. Ndo inaweza kuwa hivyo. I wouldnt want to hear Wat he is going to reply
 
Kumtamkia siwezi, lakini kumpenda namwonyesha kwa matemdo yangu. Siwezi kumpelekea mzazi wangu kwani hakunikuza kwa culture hiyo.

Culture niliyokua nayo ni kuonyesha upendo, siyo kutamka upendo. Ila kwa waliokuwa katika hiyo culture, wakiacha nayo ni shida nyingine.
 
Kwa mama Mzazi naweza kwa ugumu. Dingi hapana aisee. Kwa maza Mkubwa aliyenilea yah naweza kusema maana itakua kwa Kiingereza ila dingi Mkubwa atanipeleka mirembe kabisa maana atahisi nimechanganyikiwa aisee
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] we jamaa bhana
 
Haya mambo tuwaachie wazungu,kwa hii ishu "nakupenda" inategemea na malezi.cha msingi tu kuwe na upendo na kujali wazazi inatosha .
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji851][emoji851]
 
Kabisa yani anaweza kwenda hadi kusimulia kilabuni aisee

Anajua tu nampenda inatosha

Kwanza kutamka naweza nkaanza kujiuma kama namtamkia dem wangu wa Kwanza kutongoza. Nilitamka halafu nikatoka baruti[emoji23][emoji23]. Ndo inaweza kuwa hivyo. I wouldnt want to hear Wat he is going to reply
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kumtamkia siwezi, lakini kumpenda namwonyesha kwa matemdo yangu. Siwezi kumpelekea mzazi wangu kwani hakunikuza kwa culture hiyo.

Culture niliyokua nayo ni kuonyesha upendo, siyo kutamka upendo. Ila kwa waliokuwa katika hiyo culture, wakiacha nayo ni shida nyingine.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Kabisa yani anaweza kwenda hadi kusimulia kilabuni aisee

Anajua tu nampenda inatosha

Kwanza kutamka naweza nkaanza kujiuma kama namtamkia dem wangu wa Kwanza kutongoza. Nilitamka halafu nikatoka baruti😂😂. Ndo inaweza kuwa hivyo. I wouldnt want to hear Wat he is going to reply
Mzee anaweza kukudhania unataka mali zake 😂😂😂
 
Sina lakusema kwenye mila na tamaduni ambazo sio za kiAfrika.
Kwakweli uzungu huo miesina, labda kwa kizazi chenu kilichopangwa kwa vidonge na sindano
Mkuu.mimi sio kizazi hiki cha nyoka mi long time kitambo late 70'ss
 
Back
Top Bottom