Lini mara ya mwisho kumtamkia mzazi/mlezi wako nakupenda?

Lini mara ya mwisho kumtamkia mzazi/mlezi wako nakupenda?

Siku moja maza kaja kunitembelea kwangu, nikamtoa out tukala nyama akafurahi sana akaniambia Einstein mdogo wako wa mwisho siku moja aliniuliza "mama nlishawahi kukuambia NAKUPENDA?"

Akasema sikutaka kumkatisha tamaa nikamwambia umeshawahi mwanangu.

Dogo akasema "Mama NAKUPENDA"

Maza akasema machozi yalitoka mbele yake.

Wakati ananisimulia nikatafakari mimi mbona sikumbuki lini nilimtamkia neno hilo hata kwenye meseji?

Baada ya mwezi akafariki bila mimi kumtamkia NAKUPENDA hili deni linaniuma sana. Jana nimesafiri kutoka mkoani kuja Dar kujulia hali baba ambeye yupo wodini anapigania maisha yake.

Nataka nikamwambie "BABA NAKUPENDA"before its too late.

Nauliza nyinyi hasa watoto wakiume lini umemwambia mzazi wako NAKUPENDA??
Wadada sometimes mnawezaga.

Muwe na jumapili njema watu wa Mungu.
Hapo kwenye watoto wa kiume ndo mtihni. Kuna siku mwanagu (5) aliniandikia msg kupitia simu ya baba ake kua ananipenda ss sijui ilikuaje kweny kuchagua majina akaituma ile msg kwa bibi ake ambae ni mama mkwe wngu, mama akanipigia akaniambia mwanangu asante sn nimeona msg umenitumi kwa simu ya mumueo nikaguna nikamuuliza msg gan akasem ile uliosema unanipend maana nilivoon ile msg niliju fika ni wewe umetuma maana mwanae hajawahi kumuambia
Tujenge desturi ya kuwaambia wazazi tunawapenda
 
Yeah sijawahi kuzoeshwa hivo, kwahiyo siwezi tu kuibuka uzeeni nianze kumwambia nakupenda, ntazua taharuki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Naona kueka emoji ya kucheka pekee haitoshi acha ncheke tena ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wallah taaruki lazima itokee kama mama mkwe alivonichek kunishukuru kwa kumtumia msg ya nampenda akati dogo ndo alikosea. Huku akisema najua kbisa mumeo hawezi tuma hii msg
 
Hapo kwenye watoto wa kiume ndo mtihni. Kuna siku mwanagu (5) aliniandikia msg kupitia simu ya baba ake kua ananipenda ss sijui ilikuaje kweny kuchagua majina akaituma ile msg kwa bibi ake ambae ni mama mkwe wngu, mama akanipigia akaniambia mwanangu asante sn nimeona msg umenitumi kwa simu ya mumueo nikaguna nikamuuliza msg gan akasem ile uliosema unanipend maana nilivoon ile msg niliju fika ni wewe umetuma maana mwanae hajawahi kumuambia
Tujenge desturi ya kuwaambia wazazi tunawapenda
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nakupenda ya bahati mbaya
 
Mimi hata baby wangu huwa simtamkii neno "nakupenda"
(huwa natumia neno nakuelewa sana)
sembuse nikamwambie mzee wangu " et nakupenda mzee"

Tujikite kwenye matendo zaidi.
Hahahah mie mwenyewe nikiambiwa na mume napendwa namwambia hivi umeeka mambo yako ya urithi wangu vzuri maana design kama unataka kuvuta. Ye anasemaga jua unapendwa ila sio nakupenda
 
Aah hiyo inawezekana kwa mtoto wa kike ila sidhani kwa wanaume kama ni rahisi
 
Hapo kwenye watoto wa kiume ndo mtihni. Kuna siku mwanagu (5) aliniandikia msg kupitia simu ya baba ake kua ananipenda ss sijui ilikuaje kweny kuchagua majina akaituma ile msg kwa bibi ake ambae ni mama mkwe wngu, mama akanipigia akaniambia mwanangu asante sn nimeona msg umenitumi kwa simu ya mumueo nikaguna nikamuuliza msg gan akasem ile uliosema unanipend maana nilivoon ile msg niliju fika ni wewe umetuma maana mwanae hajawahi kumuambia
Tujenge desturi ya kuwaambia wazazi tunawapenda
How did you feel[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Naona kueka emoji ya kucheka pekee haitoshi acha ncheke tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah taaruki lazima itokee kama mama mkwe alivonichek kunishukuru kwa kumtumia msg ya nampenda akati dogo ndo alikosea. Huku akisema najua kbisa mumeo hawezi tuma hii msg
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani umwambie babako nakupenda!? Hakika aspokupiga ngeu ni bahati.
 
Mimi hata baby wangu huwa simtamkii neno "nakupenda"
(huwa natumia neno nakuelewa sana)
sembuse nikamwambie mzee wangu " et nakupenda mzee"

Tujikite kwenye matendo zaidi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] huyo "baby" ana shida saaaaana
 
Hii kitu inaanzia mbali, ilitakiwa wazazi watuzoeshe hivyo....labda ndio tuanze sisi kuwazoesha watoto wetu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] acha nipanbane na huyu kwanza[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
847260660.jpg
 
Hahahah mie mwenyewe nikiambiwa na mume napendwa namwambia hivi umeeka mambo yako ya urithi wangu vzuri maana design kama unataka kuvuta. Ye anasemaga jua unapendwa ila sio nakupenda
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji851][emoji851]
 
Back
Top Bottom