EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #101
Bora aisee maana kule sio.poa[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nipo bongo now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora aisee maana kule sio.poa[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nipo bongo now
Hahaha ndo hivyo kizazi kile cha tofauti sana. Stori zake sijui nikamaliza middle school nikajiunga darasa la kumi sijui nikamaliza darasa la kumi na mbili nikapangiwa kazi jeshini mara tukachaguliwa kwenda ujerumani magaribi sijui yugoslavia unadhani we we wa form two form three chuo na kusambaza bahasha[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] we jamaa bhana
Sasa ndio dingi ni Mjeda alistaafu akiwa KANALI ni mtata balaa ila SUKARI imemkalisha na kumlazaHahaha ndo hivyo kizazi kile cha tofauti sana. Stori zake sijui nikamaliza middle school nikajiunga darasa la kumi sijui nikamaliza darasa la kumi na mbili nikapangiwa kazi jeshini mara tukachaguliwa kwenda ujerumani magaribi sijui yugoslavia unadhani we we wa form two form three chuo na kusambaza bahasha
,kwenda ulaya mpaka uzamie wao wanachaguliwa tu kazi wanapangiwa tu ,nchi anazokutajia hata hazipo saivi yaani ni dunia tofauti kabisa
Ndo umwambie nakupenda baba dah hata ataanza kukukwepa kukuita muende kwenye vilabu vya komoni pamoja kule nyumbani. Anajua utamtia aibu mbele ya wazee wen zake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani dume zima umwambie baba ako NAKUPENDA?Siku moja maza kaja kunitembelea kwangu, nikamtoa out tukala nyama akafurahi sana akaniambia Einstein mdogo wako wa mwisho siku moja aliniuliza "mama nlishawahi kukuambia NAKUPENDA?"
Akasema sikutaka kumkatisha tamaa nikamwambia umeshawahi mwanangu.
Dogo akasema "Mama NAKUPENDA"
Maza akasema machozi yalitoka mbele yake.
Wakati ananisimulia nikatafakari mimi mbona sikumbuki lini nilimtamkia neno hilo hata kwenye meseji?
Baada ya mwezi akafariki bila mimi kumtamkia NAKUPENDA hili deni linaniuma sana. Jana nimesafiri kutoka mkoani kuja Dar kujulia hali baba ambeye yupo wodini anapigania maisha yake.
Nataka nikamwambie "BABA NAKUPENDA"before its too late.
Nauliza nyinyi hasa watoto wakiume lini umemwambia mzazi wako NAKUPENDA??
Wadada sometimes mnawezaga.
Muwe na jumapili njema watu wa Mungu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] bongo hii hiiYani dume zima umwambie baba ako NAKUPENDA?
Mkuu unaishi Marekani au Ulaya? Maana huku Tz haya mambo hatuna!
Mkuu kama anasumbuliwa na diabetes, Mungu akimpa neema akatoka hospital fanya umuone Dr. Boaz Mkumbo amesaidia maelfu wenye magonjwa ya mtindo wa maisha kwa kutumia chakula tu. Yuko jirani na Mwananyamala hospital pale. Ana clinic maeneo hayo.Sasa ndio dingi ni Mjeda alistaafu akiwa KANALI ni mtata balaa ila SUKARI imemkalisha na kumlaza
Mkuu nipange[emoji1317][emoji1317][emoji1317]Mkuu kama anasumbuliwa na diabetes, Mungu akimpa neema akatoka hospital fanya umuone Dr. Boaz Mkumbo amesaidia maelfu wenye magonjwa ya mtindo wa maisha kwa kutumia chakula tu. Yuko jirani na Mwananyamala hospital pale. Ana clinic maeneo hayo.
Tumehangaika na Abbasi hajasaidia saivi nipo RABININSIAMkuu kama anasumbuliwa na diabetes, Mungu akimpa neema akatoka hospital fanya umuone Dr. Boaz Mkumbo amesaidia maelfu wenye magonjwa ya mtindo wa maisha kwa kutumia chakula tu. Yuko jirani na Mwananyamala hospital pale. Ana clinic maeneo hayo.
Tumehangaika na Abbasi hajasaidia saivi nipo RABININSIA
instagram.com
Vitendo ni mhimu zaidi.mimi nadhani nimeshatamka mara nyingi sana kwa vitendo.unamwambia unampenda halafu hujishughulishi na mahitaji yake.Siku moja maza kaja kunitembelea kwangu, nikamtoa out tukala nyama akafurahi sana akaniambia Einstein mdogo wako wa mwisho siku moja aliniuliza "mama nlishawahi kukuambia NAKUPENDA?"
Akasema sikutaka kumkatisha tamaa nikamwambia umeshawahi mwanangu.
Dogo akasema "Mama NAKUPENDA"
Maza akasema machozi yalitoka mbele yake.
Wakati ananisimulia nikatafakari mimi mbona sikumbuki lini nilimtamkia neno hilo hata kwenye meseji?
Baada ya mwezi akafariki bila mimi kumtamkia NAKUPENDA hili deni linaniuma sana. Jana nimesafiri kutoka mkoani kuja Dar kujulia hali baba ambeye yupo wodini anapigania maisha yake.
Nataka nikamwambie "BABA NAKUPENDA"before its too late.
Nauliza nyinyi hasa watoto wakiume lini umemwambia mzazi wako NAKUPENDA??
Wadada sometimes mnawezaga.
Muwe na jumapili njema watu wa Mungu.
Ukweli sijakaa kabisa na mama yangu ameniacha kwa baba yangu nikiwa dalasa la pili mpaka nimekutana naye nikiwa na mtu mzima sasa ,muda wote nimelelewa na mama wa kambo mpaka kuwa mtu mzima ..Wote sijakaa nao utotoni hivo sikuwazoea. Mimi ndio yule leo kwa baba mdogo, kesho kwa aunt, keshokutwa kwa mjomba nimehama shule mara kadhaa. Hata kuongea nao kwa simu sio sana, mama nakaa siku nne sijaongea nae kama hakuna issue ila mzee hata mwaka sawa tu tena yeye kunipigia sijui lini mwisho
Asante mkuu ngoja tuone akitokaLogin • Instagram
Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world.instagram.com
Cheki hapo profile yao Instagram...au search Dr. Boaz Mkumbo Instagram na Facebook utaona makala zake anazofundisha namna ya kutibu kisukari na other autoimmune diseases.
For more clarity mzee akipata nafuu nenda nae clinic wampime ili wajue namna ya kum manage. Au hata kwa sasa wewe binafsi unaweza fika Clinic yao kumuona Dokta akakuelekeza namna ya chakula kinachoweza kumpa nafuu.
Dawa na sindano za insulin husaidia only a small percentage ktk kudhibiti kisukari in the long term. Asilimia kubwa ya kuudhibiti huu ugonjwa iko kwenye namna unavyounda sahani yako ya chakula.
Asante mkuuVitendo ni mhimu zaidi.mimi nadhani nimeshatamka mara nyingi sana kwa vitendo.unamwambia unampenda halafu hujishughulishi na mahitaji yake.
Pole mkuu ndio maisha yalivyoUkweli sijakaa kabisa na mama yangu ameniacha kwa baba yangu nikiwa dalasa la pili mpaka nimekutana naye nikiwa na mtu mzima sasa ,muda wote nimelelewa na mama wa kambo mpaka kuwa mtu mzima ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha ndo hivyo kizazi kile cha tofauti sana. Stori zake sijui nikamaliza middle school nikajiunga darasa la kumi sijui nikamaliza darasa la kumi na mbili nikapangiwa kazi jeshini mara tukachaguliwa kwenda ujerumani magaribi sijui yugoslavia unadhani we we wa form two form three chuo na kusambaza bahasha
,kwenda ulaya mpaka uzamie wao wanachaguliwa tu kazi wanapangiwa tu ,nchi anazokutajia hata hazipo saivi yaani ni dunia tofauti kabisa
Ndo umwambie nakupenda baba dah hata ataanza kukukwepa kukuita muende kwenye vilabu vya komoni pamoja kule nyumbani. Anajua utamtia aibu mbele ya wazee wen zake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kwa wanao badilisha malezi ila fimbo usiache akizinguashida sio hilo neno
Shida ni tulivyolelewa wima wima.,
Fimbo mbele karipio mbele...