Lini mara ya mwisho kumtamkia mzazi/mlezi wako nakupenda?

Lini mara ya mwisho kumtamkia mzazi/mlezi wako nakupenda?

Aah hiyo inawezekana kwa mtoto wa kike ila sidhani kwa wanaume kama ni rahisi
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] dingi anaweza nirushia hata drip
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 
Kwa kua hua namuelew mama mkwe nikamwambia nakupenda kisha usiku nikamfahmish mume wangu awe anamwambia bimkubwa wake anampenda
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] so good feelings [emoji2957][emoji41][emoji41][emoji41]
 
yani hata kumwambia mshkaji usiku mwema huo ni ushoga.

ni sawa kumwambia mama nakupenda lakini siwezi mwambia mzee nakupenda anaweza akaniua
[emoji2958][emoji2958][emoji855][emoji855][emoji855][emoji855]
 
Asijaribu maana itabidi aeleeze vzri hyo msg aliyokese ilikua inaenda wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] atasema mtoto alikua anachezea simu mbona freesh tu
 
Wazee wetu hawa kizazi cha Mkoloni waliokua wanasoma mpaka darasa la kumi sijui mido school noma saba

Haya mambo labda watoto wetu ndo wataweza sio sisi
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] we jamaa bhana
 
Back
Top Bottom