KERO Lini Muheza DC itathibitisha Watumishi wa ajira mpya ya Mei 2025 na kulipa fedha za kujikimu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Abdulziad

New Member
Joined
Apr 25, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Watumishi tulioajiriwa mwaka 2025 katika idara mbalimbali bado hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, pamoja na fedha zetu za kujikimu. Serikali, tunaomba mtusaidie.
 
Hizo ndio halmashauri, Mtu anafanya kazi kwa kujiamulia vile anavyotaka.
 
Watumishi tulioajiriwa mwaka 2025 katika idara mbalimbali bado hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, pamoja na fedha zetu za kujikimu. Serikali, tunaomba mtusaidie.
Fedha za kujikimu ndo muhimu zaidi,kuthibitishwa wata back date.
Vumilieni ndo tamisemi iyo
 
Back
Top Bottom